@putrichiranaa: Blush on tapi transparan?? 🥹💗 #cloudthings #crystalblush #cloudthingsbeauty #fyp

ra
ra
Open In TikTok:
Region: ID
Tuesday 08 September 2026 05:00:00 GMT
291
17
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @putrichiranaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Dalili na Madhara ya Vidonda vya Tumbo ‎Maana ya vidonda vya tumbo ‎Vidonda vya tumbo (Peptic ulcer disease) ni hali ambapo kunatokea vidonda au michubuko kwenye ukuta wa ndani wa tumbo au utumbo mdogo. Mara nyingi husababishwa na kuongezeka kwa tindikali tumboni au maambukizi ya bakteria (H. pylori). DALILI ZA ZA VIDONDA VYA TUMBO  ‎Maumivu ya tumbo – hasa sehemu ya juu ya tumbo, yanaweza kuwa makali au ya kuuma polepole. ‎Kichefuchefu na kutapika – mgonjwa huhisi kizunguzungu cha tumbo na wakati mwingine hutapika. ‎Kiungulia – hisia ya moto au kuchoma kifuani kutokana na tindikali. ‎Kuvimba tumbo – kuhisi tumbo limejaa gesi au kujaa haraka. ‎Kupungua uzito – hutokea kutokana na kukosa hamu ya kula MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO  ‎Kutokwa damu tumboni – inaweza kuonekana kwa kutapika damu au choo cheusi. ‎Kutoboka kwa tumbo (perforation) – husababisha maumivu makali na ni hatari sana. ‎Upungufu wa damu (anemia) – kutokana na kupoteza damu polepole. ‎Kuziba kwa njia ya chakula – chakula kushindwa kupita vizuri tumboni. ‎Maambukizi makubwa zaidi – hali inaweza kuwa mbaya kama haitatibiwa mapema. HITIMISHO: ‎Vidonda vya tumbo ni ugonjwa unaoweza kutibika, lakini ni muhimu kugunduliwa mapema ili kuepuka madhara makubwa. Ukipata dalili hizi, ni vyema kumwona daktari haraka. ‎  KWA USHAULI NA TIBA  KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO  WASILIANA NAMI WHATSAPP AU PIGA SIMU +225753767997 #tiktokviral  #tiktoktanzania🇹🇿  #humor #t  #kenyantiktok🇰🇪

About