Ni kweli, wanazuoni wengi wanakataza kuchora kwa mkono au kutengeneza sanamu za viumbe vyenye roho. Lakini kwa upande wa picha za kamera na simu za kidijitali za sasa, wanazuoni wengi wa sasa wanasema zinajuzu (zinaruhusiwa) kwa sababu si 'uumbaji' bali ni mfano wa kuangalia kwenye kioo au kivuli tu, mradi zisivunje maadili."
2026-09-09 16:00:08
3
Fahad34🍻 :
shekhe kajiamulia kuifanya picha iwe haram
2026-09-08 18:46:15
2
Abdillahi Yussuf :
kama picha ni Haram je ? hizi video za mawaidha nazo ni vipi hapa maana ni picha nazo
2026-09-08 11:27:23
6
mwinyi hussein :
Jambo zuri na ndio maana ata kujenga sitojengwa maana watanikumbuka
2026-09-08 04:45:20
2
UKHTY BUTHAYNA ❤️ :
nijitahidi kusoma sasa
2026-09-09 10:38:45
0
Mr spices :
Bana suala la picha tufafanulieni vizuri mana kwenye passport kwenye vitambulisho na kazaa wa kazaa Ila kusema picha kama picha Nachoka Mimi 😂😂
2026-09-08 18:59:38
0
The_giant_47 :
jaman tusome jaman jaman tusome sasa utamxomeaje na umkumbuki??
2026-09-08 11:05:25
0
mombasatuktukdealers :
je maahekhe passporti zenu hua mwapijwa nini video
na id zenu hazina picha
2026-09-08 19:48:59
0
DIGGO, ❤️ :
kwahiyo Mimi nisiwe na picha za marehemu mkewangu? hapana kwahilo, 😒😒😒😒😒
hapana,
hapanaaaaaaaaa,
hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,
2026-09-08 11:25:36
0
kombothegreat7 :
Vipi video za mawaidha aliyetoa marehemu
2026-09-08 12:57:22
2
mounah love 💕 :
picha ile iliyopo kwenye album kwenye sim utaichana aje 😂😂😂
2026-09-08 19:13:27
2
Nassor Suleiman :
Wanajisemea tu ovyo
2026-09-08 18:47:04
1
Abdallah Nondo :
sawa tik tok nayo
2026-09-08 14:28:47
0
♏_khaan 📿 :
sasa na picha aliye hai ni haramu pia? duh hakika hilo sikulijua mimi
2026-09-08 17:24:16
0
China kungfuw :
mnaosema picha haramu acheni kutumia cm maana kwenye cm picha za viumbe hai ndio cm yenyewe
2026-09-09 12:13:09
0
mulez زمى babu athumaniyii :
uharam wake uko wapi
2026-09-08 15:30:07
0
Al-Muhajirin (المهاجرين) :
kuhus picture kwa mim navy jua kilaaa mtu anafat madhehebuu ya maimamuuu kuan wengine masanamu kunawengina picture
2026-09-08 05:41:06
0
SB_MOTORS :
kwann ni Haram??
2026-09-08 09:34:24
0
Asha Salum :
sasa kama picha haramu.mbona masheikh wanapiga picha ktk mihadhara,miskitin,na wanatolewa ktk TV na calenda au vip hapo
2026-09-08 10:49:15
0
#ommy mshua #👌🩷 :
kama picha ni haram vp sauti za viongozi waliokufa kuna masheeee kibao mnarusha mawaidha yao kwenye midia
2026-09-09 18:03:47
0
Yussuf :
Lakin vitambulisho vya nida mnavyo
2026-09-09 21:25:04
0
A :
picha haraam lakini haiwezi kuhiji makka pasipo na passport ambapo kwenye passport unakuta picha.
2026-09-08 14:03:04
1
mo stuna :
Samahan je uko nchi za kiarabu mfano Morocco uko misri Mbn kuna picha kweny ofisi zao za kiislam
2026-09-08 13:51:04
0
lil sally :
ko hata kupga picha waislam ni haram
2026-09-08 10:13:37
0
To see more videos from user @abuu_muswaddiq_nassir, please go to the Tikwm
homepage.