@nyumbani.beautych:

NYUMBANI beauty(China ndogo)
NYUMBANI beauty(China ndogo)
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 04:56:19 GMT
250151
4542
163
929

Music

Download

Comments

beneh_beauty_clinic
Beneh beauty clinic :
mhhh tiles ni bora kuliko epoxy.... epoxy haidumu ata miaka 5
2026-09-08 18:27:26
16
theresiamushi637
Theresia Joseph Mushi :
ndoo lita 20 nishingapi
2026-10-20 18:24:32
0
eagle05884
eagle :
uongo kabisa,kama unataka muonekano sawa ila kwa uimara na gharama tiles bado iko sokoni saaana
2026-09-08 18:00:11
13
lucy.john51
Lucy John :
vipi inaweza kutumika kujengea kaburi?
2026-09-08 14:16:17
3
amyner12
Amyner Nyange💞🩸 :
ndoo moja unatumia chumba kimoja ama
2026-09-08 13:05:35
6
juma.masai29
Juma Masai :
Nawatafuta sana jaman mnapatikana wapy
2026-10-19 09:48:18
0
user54413422009802
MAMA CAREN OG :
gharama sio kar sana
2026-10-21 10:14:20
0
rathyndundu
Nourathy Ndundu :
Waambie epoxy kweny joto inabanduka wajue maana
2026-09-09 08:55:38
6
likwandaamour
Likwanda Amour :
Ushaona Spanish Tiles!?
2026-09-09 08:02:14
5
mjislamicschool
Mj Islamic School :
tunapataje zanzibar
2026-09-08 17:13:36
3
bibleverses043
ALICK_EDDA :
hiyo ndoo moja unatumia nyumba nzima au
2026-09-08 12:34:49
1
floosunday
Flora Sunday20 :
bei
2026-09-08 15:25:54
1
alinjvaxnl1
ARN :
inapunguza gharama kwa asilimia ngapi.
2026-09-12 08:44:49
3
pro_exodus_knox_14
etc Exodus KNox :
vina Muda basi, hata hiyo epoxy itaisha wakati wake
2026-09-13 08:47:54
0
suzzane.weston
Eagle in the peak :
sio kwenye joto
2026-09-09 15:10:32
1
tabu.kinjamnbu
Tabu Kinjamnbu :
bri gani
2026-10-12 20:33:49
1
anna.kagimbo
Anna Kagimbo :
Arusha mnapatikana
2026-09-11 11:49:04
2
wapenankejohn
John Mw :
Mwanza mnapatikana wapi
2026-09-13 12:07:52
0
shijakusekwa306
Shija Kusekwa :
Ndoo moja inamaliza vyumba vingap vya kawaida
2026-10-17 14:22:10
1
macreenah5
4 malaika :
mm naitaj nipo mkoani napataje
2026-09-12 01:50:44
1
nicoleivona795
Nicole Ivona :
ndoo moja bei gan na inaweza kutumika kwa chumba ngap?
2026-09-09 05:22:50
0
happy_sapphireonyx
Happy Sapphire Onyx :
Nasikia haipatani na maji na ikikutana na maji inatutumuka. hii imekaaje kiukweli?
2026-10-17 21:43:44
1
its8688
it’s-💛💚 :
Sh ngp
2026-09-08 17:14:26
1
user5851702166957ernest
Ernest Mnkondya :
mnauza sh ngapi kwa Lita 20
2026-09-09 10:12:07
1
twfordlocaltanzania
Baraka Jonas mnkeni :
Ubora na Muonekano ni Vitu Viwili Tofauti, Tiles ni Bora kuliko Epoxy
2026-09-19 17:27:15
1
To see more videos from user @nyumbani.beautych, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About