@nacmedia: Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imeendelea kuboresha huduma za afya kwa kuanzisha huduma ya kisasa ya kuwasaidia wanawake kujifungua bila kusikia maumivu ya uchungu, maarufu kama Epidural Labour Analgesia. Hawa hapa madaktari wakielezea huduma hii inavofanyika, toa maoni yako #nigeriantiktok🇳🇬 #kenyantiktok🇰🇪 #Trending #tanzaniantiktok🇹🇿 #siasa #viral #wasafitv #juxpriscy
nmechoka kupretend kuwa super woman...enhee....semeni bei 😆😆😆
2026-09-09 09:09:46
0
last born💞 :
SIWEZI KUKOSA UUMBAJI WA MUNGU
ATA SIKU MOJA IVO NITAZAA KWA UCHUNGU
2026-09-08 14:07:47
154
sTyleSoundBiTes✨️ :
I want to experience labor pain
2026-09-08 14:45:26
1
zaituni kisra :
raha ya mtoto ni uchungu bwana
2026-09-08 14:34:12
90
lucy🌠 :
duh! 😳 comment section Kila mtu kisingizio mungu🫴
2026-09-08 22:06:10
1
Zeddy&lizzy☑️ :
akuna tuzo ya maumivu nipeni bei hiyo shi ngap
2026-09-09 05:22:19
24
sabby :
Acheni tuzae kwa uchungu ili tuwe na uchungu na watoto zetu
2026-09-08 12:35:39
65
Aysher Nindi :
Mi napenda uchungu
hapa kwenyewe nimeumiss mnoo
2026-09-08 13:29:08
45
Grace k❤️ :
Imeandikwa tutazaa kwa uchungu🙏🙏🙏
2026-09-09 04:27:18
5
cute 😍 salma :
hi doctor Denis
2026-09-08 20:20:15
0
️ :
hiyo huduma ni sh ngp
2026-09-08 17:00:18
9
Ag💔ness💔 :
mbona doctar anaongea vizury lakini ukiendaa hospitali ana ata mda na wew jamani hii dunia ni atary sanaa😏😏😏😏😏
2026-09-09 01:48:14
10
glory :
doctor denis
2026-09-08 13:01:23
0
honey 🍯 25 :
2070 sijuw mambo yatakuwaje
2026-09-08 12:59:26
5
mam bty :
siwezi rizika bila uchungu aaah nachoka mimi😂 nesi anifokee
2026-09-08 14:33:45
6
Beauty :
Mmmmmh
2026-09-09 05:24:35
0
user7057190581619 :
KILA KILICHOTENGENEZWA N BINADAM KINAHASARA ZAKE KUBWA SN N MAJUTO .ME NITAENDELEA KUZAA KWA UCHUNGU KM ANDIKO LINAVYOSEMA TUTAZAA KW UCHUNGU.AMEEEEN
2026-09-08 14:24:13
8
Binti mageni :
Mungu mwenyewe kaweka uchungu mie nimpinge mm ninani Mungu Anakusudio lake kuweka uchungu nyie mnampinga kwahyo mnataka kusema nyie mnahuruma sana kimshinda Mungu
2026-09-08 18:51:10
4
Carine Sima :
Oooooh doctor Denis the best gynecologist 🙌🏻
2026-09-08 11:45:14
5
user1362993087057 :
kwaiyo mnashindana na MUNGU sindio MUNGU alishasema tutazaa kwa uchungu
2026-09-08 16:29:19
0
mom Sharon🥰 :
MUNGU kashasema tutazaa kwa uchungu bc hiyo ndo raha yetu
2026-09-08 21:34:04
5
annagld7 :
Nitazaa kwa uchungu tu kuna mtu kafanyiwa ivyo mpaka Leo hanyanyuki
2026-09-08 15:45:03
0
To see more videos from user @nacmedia, please go to the Tikwm
homepage.