at the point i stop playing efootball now im playing pubg mobile living a happy life
2026-09-08 14:49:23
3
Inaj :
ayaaa sochezi naeee hiii
2026-09-08 17:52:50
2
Gmichoro :
hii game kwangu mbona inagoma na inaniambia download complete
2026-09-09 13:41:53
0
dantechcray :
yeah it's true I aslo did the same
2026-09-09 07:44:51
0
Mr E :
alafu mtuu anaeshinda magoli mazuri kama haya anatoa chapu tuu ataki uone marudio đđ labdaa ukaangalie highlightđ
2026-09-08 09:07:30
34
Luis Lis man :
tunao quite tujuane mapema
2026-09-08 17:50:00
2
Tibanzonkinzaa 255 tz :
iyooo una pigaje kaka đđŧđđŧ
2026-09-08 07:52:56
2
ââ"TUU BOY<>THE DONE"âĄâĄ :
bro una fanyaje had mchezaji anapiga kama hivyo??
2026-09-08 14:59:42
3
morashid293 :
mi nikiona mtuu ana wachezaj wana midable touch ming nakata tuu game basi staki kuzalilikaa mmđđđ
2026-09-08 15:27:10
4
UWEZO MLIGO :
alooh we jamaa jau Sana kuna siku nimekucheki niliona kuna kikosi unauza niksema nilitaka ukasema kipo badae nakutafuta hujibu wala cha nn mwisho WA siku unakuja kunambia umesha uza niliona kingine nikasema nikitaka lkn ukanikaushia mazima ASA biashala gani hiyo kakađđđ
2026-09-08 10:14:03
3
Th~starâ¨đ :
Daaa kweli mm bado sanaaa
2026-09-08 09:13:56
1
Hala madrid alexandermbappe :
unashindw kukimbia kam mm nishatorok md a san
2026-09-08 07:27:06
2
Sillah Gamer tz :
hili gori alikuingia lilipiga nguzo likatoka nje daa niliumia sana