@mpaliandampalianda: kwanini bimkubwa kila akiniangalia analia #trending #viral #viralvideo #viraltiktok #kenyatiktok

MPALIANDA MPALINDA
MPALIANDA MPALINDA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 06:00:31 GMT
28646
833
215
57

Music

Download

Comments

sophieoutfit06
faina :
Ata mm nariaa kwa ivyo ulivyo 😅😅
2026-09-09 13:43:59
0
leihosam
white lion 🦁 :
Mwamposa tafadhali hairisha ziara za mikoani rudi Dar kuna dharura
2026-09-08 18:45:38
26
wahubani
WAHUBANI :
Anaogopa kuibiwa
2026-09-08 17:57:21
10
dullah.hassan
Dullah Hassan :
Nbabe wa ima
2026-09-09 10:53:08
0
0676841180i
kucha pro :
asa kwann tena analia jaman
2026-09-08 17:39:13
0
arafa.ramadhani0
Arafa Ramadhani :
Hata mimi nalia hapa nilipo wewe ni mganga au ?
2026-09-08 06:16:59
10
dolashirima
🌙 :
hata mm mtazamaji nalia na mengi kukuona
2026-09-08 19:27:16
3
iman592077
Iman🏈🕊️ :
mi ningekumbia
2026-09-08 16:03:58
1
trinity9768
Trinity :
Ata kama Ni Mimi ntaaacha kulia Bora yeye me ningezirai🥺🥺🥺
2026-09-09 08:41:50
5
eshedau
eshedau :
Ata mie ningelia sio yeye tu hy mzazi mwezetu
2026-09-08 18:15:48
1
user18222138235517
Yussufchumu :
mh
2026-09-08 16:37:56
1
mimah6850
Mimah6850 :
Au anaogopa ulivyo😳
2026-09-09 10:51:17
0
shabudu.khalfa
shabudu Khalfa :
ww bado hujajua kwa nn analia
2026-09-09 09:28:33
0
daud.ntyama
Daud Ntyama :
aise bongo tumevamiwa hawa jamaa tuwe nao makini sana
2026-09-08 18:28:24
0
wauye1
Hope :
me mwenyewe ningezima
2026-09-09 10:17:13
0
waitwaiting5
Mercy❤️ :
Me nalia sikujui mganga mpya
2026-09-09 10:55:27
1
watendewaotwaha
asia :
yani nachindwa kuelewa naliatuu kama mzazi sielewi
2026-09-08 19:38:42
0
aminamafita2000
amina mafita :
kaka mbona unatisha sana
2026-09-08 07:47:34
0
user60397251579754
Bakari :
UNATISHA
2026-09-08 09:04:29
1
da10954
subira ni ngao :
mm ningalikukana kabisa Mungu nisamehe
2026-09-08 10:06:57
2
user44992280725835
bushra77 :
Lazima eri mana mtihani
2026-09-09 03:35:54
2
user4659387293340
user4659387293340 :
umemletea nini
2026-09-08 09:30:28
0
salumabdalla202
Salum Abdalla :
hujamletea samaki baharia
2026-09-09 15:26:16
0
shikolotz
Shikolo OS :
mm ningezimia kabisa😭
2026-09-09 14:57:31
0
To see more videos from user @mpaliandampalianda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About