amina ya Allah [Pray][Pray][Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-09-08 08:43:54
1
Lichu :
Allah tupe mwisho mwema
2026-09-08 08:21:39
12
omari :
Allah akujaliye upate uongozi siku moja tuje kukuona maneno yako na vitendo vyako
2026-09-08 07:26:25
7
Yusco :
sis tunatak viongoz km hw ambao wanamuogopa alla ila haw wahuni nd wanao tuharibia ee mungu uvunje muungano yarabi ah
2026-09-08 16:05:43
4
Adhnat :
naam hakuna anaejua cku gn ataondoka😭 Allah atupe mwisho mwema
2026-09-08 07:08:54
9
lahid-001 :
Hakika
2026-09-08 06:43:48
3
Ibrahim Faki :
uyu ndo aliye stahik kuwa raisi kwa kwel
2026-09-08 15:01:47
2
brown classic :
Asojua maana haambiwi maana
2026-09-08 07:45:27
1
diplo mohd :
kabisa malim
2026-09-08 07:13:28
2
mkude boy :
kwely kiongozi wangu unaxema
2026-09-08 08:25:29
1
Shuweha Abdallah :
Nikweli baba mungu akulinde 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-08 07:21:55
1
Uncle :
kwel kabisa
2026-09-08 06:17:19
1
wawesha 11 :
maashallah
2026-09-08 08:42:19
1
GARO :
binadamu hamuna kitu nihayo mambo tu
2026-09-08 06:45:15
1
🦋🦋Aysha🦋🦋 :
mashallah
2026-09-08 08:39:37
1
Fahmi_toto_06 :
Alhamdulillah🙏
2026-09-08 07:09:45
1
MUNDHIR ALY :
mungu atujalie mwisho mwema
2026-09-08 08:43:44
1
alone boys 22 :
kipind Cha mitume kulikuw na kijani mda wote yupaikitin mpka akapat Jin la hamamatul masjid ila je baada ya kupew na Allah alipo fatwa atoe zakka alisemaj?hay ni manen ya binaadam 2
2026-09-08 07:35:55
1
ommy kisondo :
omo zanzibar bara tundu lissu tungekuwa mbali sana
2026-09-08 14:40:00
0
mode off :
allah akupe maisha marefu kiongozii wangu🤍🤝
2026-09-08 15:14:29
0
STASTIONARY K/SAMAKI :
SHEIKH OTHMAN
2026-09-08 16:31:07
0
Fatima Mohd :
kwel hakuna anaye juwa hta kesho yake
2026-09-08 13:15:51
0
Uchu :
fact
2026-09-08 07:03:46
1
To see more videos from user @othmanmasud, please go to the Tikwm
homepage.