naaomba niulize swali kama kodi zetu zinatumika kujenga maendeleo ya Taifa kwanini serikali inazidi kuongeza madeni😳😳
2026-09-08 18:29:58
4
SAMWEL LUCAS :
mbona Huwa najikuta Maswali ya CHIEF ODEMBA Ñimafupi lakñ nimakali mno kulikoni haya Majibu yanakuwa kama mashairi
2026-09-08 14:58:36
4
r.chdy :
Perfect answer
2026-09-09 00:54:25
0
official ondi380 :
Ondemba sinauhakika kama huu mwaka unamaliza😂😂
2026-09-10 05:17:28
1
KAYOMBO MTATA :
odemba ndiye muhandishi WA habari in tanzania wengne watuache kidogo 🙏🙏
2026-09-09 08:43:06
3
ayubucharles222 :
odemba live long
2026-09-08 17:07:51
1
ramadhanimussa2589 :
odemba nakukubal sana ndugu yang
2026-09-10 22:35:34
0
Sinkala. sinkala :
Odemba sarut kwako
2026-09-10 20:55:13
0
Emmanuel Kegoma paul :
odemba two tam😁
2026-09-08 20:19:23
1
Selemani :
odemba noma
2026-09-09 14:54:02
1
michael ndilola :
Mi huwa naelewa maswali tu na sio hayo majibu
2026-09-08 13:53:54
3
rehema thomas :
majibu na swali havilingan kabisa
2026-09-08 17:37:36
2
jenifa :
mamamm
2026-09-08 18:17:30
0
Minaaa##Muuza Nafaka Shinyanga :
mhhhhhh
2026-09-08 06:15:51
0
Electrical :
kama tunajenga wananchi kwanini mnakopa mnapeleka wap hela mnazo kopa
2026-09-09 05:06:23
0
Tanana :
Hakuna kitu hapo, anasema rais asipunguziwe madaraka wakati waliompatia madaraka rais ni raia na ni wenye haki ya kumpunguzia madaraka pale wanapoona walizidisha nguvu inayomzidi.
2026-09-09 10:13:39
0
B the king :
hahhahaha yani Odemba
2026-09-08 15:10:59
0
mleno luis :
hahaha jamani
2026-09-08 18:58:45
0
kelvin mwita :
ila Tanzania ina watu viazi kabisa😁
2026-09-08 21:07:49
1
happymgovano :
Odemba duu msumari wa moto
2026-09-08 06:35:02
1
hanskaa :
kwa mamlaka niliopewa namuamulu odemba kujaza mafuta kwenye Gali lake Bure kituo chochote Tanzania
2026-09-09 07:26:40
0
user848658751142 :
chama kinatoa hela mifukon mwao
2026-09-08 14:15:07
0
RICHARDSON SIMON :
mchapeee swali
2026-09-09 08:40:23
0
ZAHIR9 :
👍👍👍
2026-09-08 18:10:59
0
To see more videos from user @udambwimedia, please go to the Tikwm
homepage.