@c.o.n.e__92: #updates #tanazaniatiktok🇹🇿 @swagg_point_store jeans kali yoyote kwa TSH/17, 000

C.O.N.E
C.O.N.E
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 06:10:38 GMT
65351
2039
58
62

Music

Download

Comments

shukrani.raphael
Shukrani Raphael :
Miezi mitano unalalamika mtoto wa kiume watu wanadai mafao ya vita ya Idd Amin mpaka Leo na Bado wanaipigia CCM kura we vp?
2026-09-08 16:07:25
37
aziza.mandari
Aziza Mandari :
Tv imekufa dhulima
2026-09-08 20:25:38
6
oliverrestaurants23
Oliver food point❤️ :
Hivi hii zamaradi tv bado ipo?
2026-09-08 18:34:04
8
henericos
NELSON :
Watu waivi wapo
2026-09-08 19:11:37
4
madawaking45
Kingkid45 :
mbn kaa iphone aina cloud hiii😂😂🔥
2026-09-08 19:13:48
1
tommy_3_jerry
Man_himself🤠 :
mmm noma sana, miezi mitano??? kweli kwa maisha haya hujalipwa miezi 5 af boss anachukulia poa tu. Noma sana
2026-09-08 16:45:14
10
user9186927958754
Horoma Fidel :
vijana tuwe makin..usikubal kukopwa nguvu
2026-09-08 20:44:52
3
donmastory
Don Franco :
mambo ya media ni siri ya mtungi yana siri sana kwenye malipo
2026-09-08 08:37:29
4
alicepassanger
Alice masu mkali :
ndomana hata ruge alimshindwa
2026-09-08 20:27:48
4
alesi.undole
Alesi undole :
polee umrpitia mengi 👌
2026-09-09 03:45:33
0
user3544730704216
Tonny money :
sjawai kuielewa hiyo media mara iwake mara izime ipo ipo2
2026-09-08 19:11:20
2
shabanipondaga5
Shabani Pondaga :
ndio maana wachambuzi wanaegemea upande wanaopewa bahasha
2026-09-08 18:21:25
2
abdallahsalum695
Logistics Expert🚢🚍🦺🇲🇼🇿🇲 :
hamna bosi apo
2026-09-08 18:39:30
1
happinessnyambita
Happiness Nyambita :
next
2026-09-08 20:01:40
1
yuyajr1
Yuyajunior :
aisee kwenye media haya mambo yapo sana
2026-09-09 00:26:04
0
immanuelkamwela
Immanuel Kamwela :
mbona siyon kwenye kingamuz cha azam
2026-09-08 19:14:04
0
r.harnilu_06
🦋🦋..lalu...🦋🦋 :
ukimuona mtu anaongelea mshahara wake kweny Jakuu laa watu Juwa iyo stori ni kweli na inauma. Mshahara ni kitu ambacho mtu hatakiw kufanyiwa mzaha
2026-09-08 19:52:42
12
othikomba6
othikomba :
jambo lahela halijawai kuwa jepes kwakweli
2026-09-08 08:59:25
3
user71373045965673
hamisi jr :
aisee
2026-09-08 17:12:17
0
the01cute
the1cute :
so ndugu yako😂au leo vepe
2026-09-08 21:21:11
0
cocoboy686
mbusye :
Ana roho mbaya sana kwa tabia ya kufulisha watu wafanyakazi wanapata shida thawabu hapati
2026-09-08 06:25:49
8
salha33_3
Sarah :
Sura siyo roho😳
2026-09-08 23:47:00
2
user5246851224353
user5246851224353 :
Zamaradi ni tapeli ila msimlaumu watu wote wenye ngoma wapo hivo
2026-09-08 17:21:13
4
ashay8896
ashay :
bossi kichefu cheffu ndio mana TV limekufa umimi pambana mangi kimambi tunajua anasemaga kweli kabisasa
2026-09-08 18:19:22
1
hamisyuledi
Hamisy uledi :
huyu nae mtu anadai chake halafu unalopoka .ndugu haki lazima ilipwe
2026-09-08 20:38:07
0
To see more videos from user @c.o.n.e__92, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About