@wahondogoog1:

Wa HONDOGO og
Wa HONDOGO og
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 06:13:56 GMT
26328
1858
103
10

Music

Download

Comments

abduli7369
abduli :
kaka cjaona video mtandaon y yoyt alongea maneno matam km ww iv kaka endelea kuakumbusha wanao ongea maneno yasio mazur kwa mzee wetu kufariki kaka wambie kilaanae ishi kweny hii dunia sote wakosefu n sote safar yetu moja wambie kaka wache kuongea manen y ovyo kilamtu n mazaif yake kila anae ondok kweny dunia atakam amekusea unatakiwa kumuombea dua 2 kwasabab mazali n ww upondan y dunia unaweza kua mkosefu mkubwa kuliko walio tutangulia iv nani anae jua wap anaenda n wap atafikia nani atakua mpokezi wako nani atakua muombezi wako wauliyo yafany kabla kufa kaka wambie tufanyen ibada wambie turud kwa mungu wetu kaka asante san
2026-09-08 08:35:19
11
userubvzxdpdqa
dogo vove :
point man
2026-09-08 13:13:54
0
saidselemanjuma
star.kiddy.🇹🇿 :
bado wew we usjali inafkatu na kwako
2026-09-08 09:22:09
2
johhmike5
johhmike14 :
lakini uyu mzee akuwa na shida na mtu
2026-09-08 14:49:43
1
amir.sap.amir.sap
Amir sap Amir sap :
god god
2026-09-08 15:19:16
0
sada33688
Sada :
hakika broo umeongea points Wana tunajisahau nadunia
2026-09-08 08:25:18
10
zenajela0
zenajela :
kwel kaka Yang umeongea point kuu n kwa uchungu mkali kinacho tualib sis n pumz tu
2026-09-08 14:05:27
1
molem.philemon
Molem philemon :
umeongea point sana mdogo wa mwana falsafa
2026-09-08 08:10:10
5
tevezvinuga
King Vinuga🎮☠️👑 :
👊👊👊👊fact brother 🔥🔥🔥
2026-09-08 06:47:05
2
issaaliamir79gmail
[email protected] :
asante kaka
2026-09-08 12:10:00
1
ninjazombi559
ninjamfiraji :
AllAH AKBARU👍👍
2026-09-08 16:50:48
2
user24238179392928
Abdulr@z@qu€☂️ :
fact
2026-09-08 08:44:39
1
mustafa.ismaili421
Mustafa Ismaili :
wote 2taondok tumuombee alazwe mahali pema ppn
2026-09-08 11:25:55
1
user8339024906621
user8339024906621 :
mwanangu nimekuelewa. Tuko pamoja. Ahsantum. [Cool]
2026-09-08 11:41:23
1
abow2417
MR yagga :
Allah atulinde bro umeongea vyema sana
2026-09-08 06:19:29
3
mpemba_agent
mpemba-agents :
fact mkuu
2026-09-09 05:06:30
0
user0672257832
Haythuur :
kabisa kiongoz
2026-09-08 06:24:21
1
linu.theddon
MBAGAMOYO,^OG🙏 77👣 :
wa nyumban sasaivi nakuelewa mifano yako hai wakumbushe kaka
2026-09-08 08:57:15
1
juniory.da.greaty
juniory da greaty :
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya msiba wa mpendwa wako. Natoa pole za dhati kwako na familia yote kwa kuondokewa na mwenzi wako wa maisha. Hakika huu ni wakati mgumu sana, na hakuna maneno yanayoweza kuondoa maumivu ya kuondokewa na mtu wa karibu kiasi hicho. Ninakuombea Mwenyezi Mungu akupe nguvu, uvumilivu na faraja katika kipindi hiki kigumu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape wote waliobaki moyo wa subira na ustahimilivu. Pole sana. Tuko pamoja nawe katika maombolezo haya.
2026-09-08 07:57:25
1
anna.maria4664
Anna Maria :
kweli kabisa kaka
2026-09-09 17:12:32
0
hamisi0789261643
0789261643 :
sana kaka
2026-09-09 08:52:24
0
latifawazir
latifawazir :
😭😭😭😭sana Allah akuridhie
2026-09-09 07:27:03
0
user175813408174
user175813408174 :
kabisa
2026-09-09 05:36:09
0
user6377756617614
user6377756617614 :
waaambie mze
2026-09-09 09:51:53
0
privatelife207
Pablo escoba.TZ :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
2026-09-09 16:01:21
0
To see more videos from user @wahondogoog1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About