subhanallah 😢😢this is really bad duh,Yuko sawa kweli huyu dada
2026-10-25 07:54:29
0
Sarah@06 :
mungu niepushe mm kaaaaaaah[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-24 15:26:43
0
cute-leila :
hii siukweli
2026-10-23 12:09:53
1
mgwaleisha4 :
Huwajui wafanyakazi wa ndani wewe
2026-09-08 23:15:03
136
theresia jackson :
niliwahi fanya kazi za ndani nimanyanyaso balaaa😭😭😭
2026-10-18 05:37:28
36
Sinepha :
mabosi wanaroho mbaya sana ukiishi na mfanyakazi mfanye sehem ya familia
2026-09-09 03:46:34
195
Aminah💖💖 :
mtumee yaraabi mm nafanya kaz za ndan siwez fikia huku daah kama kaz hutak siuondoke jmn😳😳😳
2026-09-09 10:11:05
70
Mr.mawengeeh :
shida muna sikiliza upande mmoja je iyo familia inamtendea haki maan mpaka anafanya ayo wenda kuna chanzo cha ayo mambo ni kipi watueleze kama wanavyoo muweka adharani
2026-09-08 21:04:02
45
mrs.f :
kanajibu bila wasiwasi kenyewe kazur
2026-09-12 18:34:29
42
gee :
staki mfanyakaz hat kusikia Hawa watu Huwa wapo mdada WA kazi aliondoa uhai WA mwanangu bila huluma akamp daw kwa. chakula xtak Hawa watu kuwaona asiee😌😭😭😭
2026-09-09 06:13:23
19
MAMASUU :
Kuna wengine wanakalishwa vizuri lakini wako na tabia mbaya tuu
2026-09-09 06:10:13
43
Unstoppable 🚭🚭 45 🔥🔥 :
Alafu yupo serious kabisa daaaaah dunia imeisha ety wakuuu
kaka hao wafanyakaz hawanaga shukuran yaan we huwajui kabisa au unakutana na walio na nidhamu
2026-09-09 06:59:46
6
Golden Boy :
mungu akulinde ww mwenye mfanyakazi nyumban
2026-09-12 13:37:12
7
Nuraty :
mim nafanya kazi za ndan laikn cijawahi kufikiria kufanya hiv wala kufikiria nakaa nao kama ndug zang hata kama mtyu anakutesa unavumiliya tyuu kwasababu unatafuta maixha lakin inauma xana jmn inauma xan
2026-09-09 08:56:49
8
Suma Mwambegele :
ya miaka mingi sana hii
2026-09-09 01:27:06
8
ELNINO NAKUJA TANZANIAN :
jamani ili ni fundisho kwa wale wanao wanyanyasa wadada wa kazi mna cha kujifunza apa
2026-09-08 20:10:35
9
officialgee💕❤️ :
Mungu nisaidie nije niishi vizuri na dada wa kazi
2026-09-09 13:16:23
6
IT'S ME😍😍 :
na wamemfanya nn mbona anasema kwa urahis hivyo
2026-09-18 21:48:22
9
MAMBA THE DON!! :
inamaana yeye mfanyakazi hicho chakula alikuwa hali?
2026-09-09 04:40:49
5
Tiffah love🌹❤ :
uku kujiamin adi shetan anaogopa 😁
2026-10-20 18:10:12
8
Mudy og :
hv naomb kuuliz mbn yupo siliax hivyo au ni kontent jaman
2026-10-18 13:43:24
15
To see more videos from user @mr__tzb, please go to the Tikwm
homepage.