@ww.tiktok.comblackcutty: #fyp #wanawake wakiwa tunaweza kuwa maraisi

black cutty
black cutty
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 06:29:10 GMT
139807
5213
646
483

Music

Download

Comments

mamapacome6
Jambototo🥰🥰 :
Wanyakyusa Wachaga Wahaya kuwa Rais Noo😂
2026-09-08 09:13:59
234
first.born271
Firstborn 🦋🍎 :
Mimi pia mhaya, lakini wanaume wa kihaya wana roho mbaya sana😂😂 Baba asione 😂
2026-09-08 10:19:14
110
caroline.salakana
star 🌟 :
alisema pia wachaga hawawez kuwa rais
2026-09-08 07:32:12
116
user9380001088218
user9380001088218 :
hata wachaga wabinafsi sana
2026-09-08 09:37:59
38
madam.marry63
Madam Marry :
Ni kweli nimedate na muhaya miezi miwili tu nimeachia ngazi😅
2026-09-08 13:07:14
41
user3543079254122
cathy🥀 :
kweli dada mungu akupe maisha marefu
2026-09-08 07:20:43
53
user5769790745097
user5769790745097 :
You're not a soul mate
2026-09-08 17:41:14
0
user657533156221
regina :
sio wahaya tu hata wachaga mwalimu alisema uraisi big NO
2026-09-08 15:04:24
34
mtagataboy5454
mtagata boy :
pamoja na wachaga
2026-09-08 15:58:18
9
ashbeyb2
Anonymous :
No comment 😅😅😅
2026-09-09 11:42:51
0
user3777295265572
Babe girl :
true[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-08 12:20:48
1
mama_iqrah
IQrah :
Nikwer😂
2026-09-08 17:34:42
0
alpha.girl15
Alpha girl :
😂🤣🤣🤣🤣 huyu wangu kaniambia ni mzalie ngoja ni weke kijiti 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🥂
2026-09-08 13:46:20
10
sarahmisongika1
Dr_Sarsh :
Nikweli nimedet na mhaya doctor tena alikuwa ananiambia yeye chifu tena kuna mda ananiambia utaniweza kweli duuuuu🙌🙌🙌
2026-09-08 08:21:21
40
ummuh707
Ummuh001 :
Umesema kweli kwa nini nisikupe like na kuku follow
2026-09-08 09:04:22
61
jenniemongi30
Jennings|🌺 :
post inaongelea wahaya ila comments mnasema wachagga tumewafanyaje jmn 😂😂
2026-09-08 11:36:22
40
shamsahimisi20
@ Shamsahimisi20 :
Wangu alikua ivo rooho mbona nilimjoosha mwaka 5 kweny ndoa katulia
2026-09-08 13:31:32
9
user7937298426854
Ekoni Msubhati wa gibebe :
🤔🤔🤔 kumbe namuacha mchumba ni mhaya 😂😂😂
2026-09-08 11:05:07
6
goldenleestrendz
goldenleestrendz :
Bora wasukuma tushaongeza nchi😁😁
2026-09-09 01:53:13
8
its_trecty
its_trecy :
Kweli dada kweli kabisaaa
2026-09-08 08:49:20
31
chimoo665
chimoo :
kweli dada pamoja na wachanga
2026-09-08 09:32:18
15
cute_rau5
Rauhia :
Wahaya, Wachaga na Wanyakyusa Rais alisema No
2026-09-08 12:35:15
6
neezly8
𝑫𝒂𝒓𝒌 𝒓𝒐𝒔𝒆🥀🖤 :
Mmh labda wahaya wa huko sio mhaya wa kyaka jmn me baba angu hapna huo udikteta hana jamn 😂
2026-09-08 10:55:12
7
076057lydi
🎀♡____Lydia♡🎀 :
Wanaume wa kihaya mwaka huu ni mpaka mumuelewe huyu dada🤣🤣🤣
2026-09-08 08:40:10
22
To see more videos from user @ww.tiktok.comblackcutty, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About