me uniache hapo kwakuokota TU jaman [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] na nikiokota hiyo nyumba ntakupangisha na ww [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-07 15:56:08
0
Rajab Mjungu :
nooooooooooooo ruuuuuuuuun
2026-10-07 18:01:38
2
G master🩶💫 :
4.kuokotw nyumba ,gar ,meli .n.k.😃😃🙌
2026-10-07 22:26:59
1
obby¥🥸🥸 :
😂😂😂😂 mbona ajaweka namba
2026-10-07 20:18:03
2
Christina :
Kuolewa na Mzungu jamani
2026-10-07 19:41:49
1
Majaliwa Bandoma :
wana niuwaa yesu wana niuwaa🤣🤣🤣🤣
2026-10-07 20:30:33
1
Gelline Hamis :
Mganga husaidi kutumia WiFi mwaka mzima bila kulipia
2026-10-07 21:44:40
1
ALIYA MBALAKA :
mm kupata kz bila intavyuu lasaba sijamaliza
2026-10-07 20:21:43
1
user9053763972749 :
kuokota nyumba Na gari
2026-09-25 10:52:35
2
RASE5 :
Eeeeeeh! Ila bongo bahati mbaya
2026-10-08 00:15:38
0
rahelmimbi :
🤣🤣basi hapo ni makosaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
2026-10-07 23:47:45
0
thomas :
mm nimekwama hapo kwa intavyuuu
2026-10-07 23:43:10
0
21 savage :
mm nasibilia elinino ianze niokote gari
2026-10-07 19:49:35
0
Daniel Mwakagali :
intavyuuu ndio nini sasa
2026-10-07 21:43:04
0
eli :
hatimae nasisi tumefikiwa naomba kuokota meli
2026-10-07 22:38:28
0
suleimanmnyama687 :
Namba 4
2026-10-07 22:19:26
0
Willson Kazegele :
huyu mganga sasa ndy nataka ana kitu tutafika mbali😂😂😂
2026-10-07 20:26:27
0
𝙒𝙄𝙕𝙕𝙔🌴𝙆𝙄𝙕𝙕𝙔 😈 :
unajua nacheka na nini😂😂😂😂
2026-10-07 21:09:02
0
The wolf :
nataka kuokota meli sijui kama itatoshea Kwa basin ya bafu
2026-09-09 06:03:03
4
Black America :
mimi nabrick brock ila nataka panda cheo kimzaha mzaha
2026-10-07 18:55:02
1
tadnygz0 :
kubeti Bure mbona hakuna au hunauhakka na OFA 😊
2026-10-07 23:39:26
0
johrey45 :
usisaau kuoga bila maji
2026-10-07 22:04:57
0
Gventina 🌺 :
mi naomba dawa ya kupta 4llowers wengi na like
2026-10-07 21:43:05
0
Ricardo Nolan's :
hiyo ya kupanda cheo kimzaha mzaha naona ndo itanifaa
2026-10-08 00:32:21
0
mwakinyasa mcheshi :
uyo mganga au ganga
2026-10-06 14:32:55
1
To see more videos from user @pupaflex, please go to the Tikwm
homepage.