@bongofunny9: #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoksouthafrica🇿🇦 #swahilitiktok

BongoFunny🔋😂
BongoFunny🔋😂
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 06:55:34 GMT
14101
465
78
14

Music

Download

Comments

aneth.elias67
anethy elias :
ukipata mwanaume olewa
2026-09-08 11:14:43
16
officiacecy
cecy_cute :
una tuma mesj asubuh ana jib jion
2026-09-08 11:37:08
5
officialy_fatine
𝐅𝐞𝐭𝐭𝐲🌺 :
Nilimtania nikamuuliza upo kwa mke mwenzangu akanijibu niende kufanya nn wakati yupo period 😂
2026-09-08 16:50:35
3
user2211558275703
@mimaa💖💞 :
Kuna kelele siskii sms zako
2026-09-08 09:31:42
3
bintifrancisco
✿◕ ‿ ◕✿Official Teenh♥︎‿♥︎ :
Sikutaki nina mke yaan sijawahi kukupenda
2026-09-08 11:17:28
1
anordi8813681579849
anordi 🛠️🛠️🔧🔧 :
saiz Sina tena isia na wewe
2026-09-08 11:12:41
1
brianmushi675
frostee ☄️🌬️📃 :
usifut namba yang nitakutafuta [Big LOL]
2026-09-08 10:16:23
1
aisha.omary197
-it's isha❤️🦋🦋😜 :
unapiga simu unaambiwa sema 😂😂
2026-09-08 17:42:29
1
missg645
Hilda Asenga :
unatuma sms asubuh anajibu jion. mim ndo shwaaaa kimya mazima
2026-09-08 12:32:58
3
user1875639388310
user1875639388310 :
Mimi kasema dini anaogop zinaa
2026-09-08 15:58:42
1
damiani126
Ra🫂❤️ :
nip kweny kikao usipig sm nitkutft
2026-09-08 14:57:58
1
thereal_lastborn1
ℒ𝒶𝓈𝓉𝒷ℴ𝓇𝓃 ❤️🫂 :
Wewe nakupenda na yeye nampenda ko utajua wewe 😂😂😂
2026-09-08 17:18:13
1
adrxn518
@☠️Adrxn :
kwani unataka nn ww
2026-09-08 16:51:58
1
user73131001998720
mom mina 💦💦 :
kumbe kuna kuambiwa eenh me nilijiongezaga mwenyew
2026-09-08 15:25:10
1
esterkalalu
Ester Malissa❣️ :
mwanaume atakaekuoa amepata😂😂
2026-09-08 12:31:02
1
www.mashinstallation.com
Harry Potter :
milion Moja inanishinda na ndoa je🤣🤣🤣
2026-09-08 13:51:29
1
www.tiktok.comsanpedro2
san pedro :
usintafte tena mam anachukua sim yake
2026-09-08 12:30:17
1
dianatesha007
Diana cake's :
Niko busy
2026-09-08 09:46:49
1
user6573557625421
Ney💞💦🌹 :
km VP potezea
2026-09-08 09:44:46
1
rare.gyal6
@itsraregyal :
kanikalia kmy n mm sijawah kuumzwa n mapenzii waiiiii nkamblock ajue yak
2026-09-08 11:24:15
1
allanswedsamson
vee money :
Nina kaz saiv
2026-09-08 08:19:53
1
aminadally
aminadally :
Sitaki stress zisizo na msingi utasababisha niangushe gari la watu niache kwanza ntakuchek😉
2026-09-08 14:21:06
1
miss.me1
🫧💖 🍀🫧 :
alinambh unapenda kujiamulia mamb mwanetu 🫩🫩
2026-09-08 11:39:19
1
To see more videos from user @bongofunny9, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About