@davimess26: Aliye kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha, amesimulia kisa cha mwananchi aliyemtaja kwa jina la Sophia, aliyekuwa akimtumia ujumbe mfupi wa maneno kupitia simu - akimtongoza, licha ya kuonywa mara kadhaa lakini hakuacha. Chacha amesema mwanadada huyo aliendelea kumtumia ujumbe huo, hali iliyomlazimu kuchukua hatua kwa kulifikisha suala hilo kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora (RPC), Tabora (RiCisha hatua ambayo amesema ilimfanya Sophia kuacha kabisa kumtumia ujumbe. Amesema kabla ya kufikia hatua ya kutoa taarifa kwa RPC, alitumia njia mbalimbali za kumfikia mwanadada huyo kupitia wajumbe waliokwenda kumuonya na kumtaka kuacha kumtumia ujumbe wa aina hiyo, lakini juhudi hizo hazikuzaa matunda. <<<<< Hivi Kutongoza kumbe ni kosa? #fblifestyle

davestar 🌟
davestar 🌟
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 07:02:11 GMT
210228
6197
1544
2080

Music

Download

Comments

happie324
Da Bonge🥰 :
Sasa mtu asitoeee ya moyoni jamn😀😀
2026-09-08 08:44:04
681
neyla.mollel
Neyla Mollel :
Better to tell me the truth that's in your heart than to remain silent ❤️😂😂😂
2026-09-08 15:06:02
0
devotawille
DEVOTA WILLE :
kumbe saivi na mm nikitongozwa nikashtaki????tanzania oyerre🤣
2026-09-08 08:37:37
290
king.leader77
King leader :
Kwa hio game over😂😂
2026-09-08 11:36:48
0
madam_phie2
Sophie :
MKUU WA MKOA WA IRINGA AJIANDAE 🤣🤣🤣 SOPHIA MIMI NAFATA
2026-09-08 08:43:44
162
bernadetha54
bernadetha54 :
We kuweza mkuu mwenyew handsome hvyo
2026-09-08 09:04:24
43
user9430406836028
ruxie bby :
🤣😂🤣😂🤣🤣😂😂nachoka mm
2026-09-08 14:52:33
0
_lupa9
Lupa’s collection :
🤣🤣🤣🤣Free sophia
2026-09-08 11:42:07
0
fideliaharry95
fideliaharry95 :
pole Sophia 🙏
2026-09-08 12:11:28
0
mss..shonaah
🌸Ms_shonaaah💞🦋❤️ :
kwahy mtu asiongee anachojiskia moyoni mwake jmnii🥺🥺🥺
2026-09-08 13:10:36
14
fedcasto
Fed Casto :
Tumesha fika 2030 Kwani??
2026-09-08 10:18:55
32
mdudu116
mdudu :
kwani hilo nalo ni kosa??
2026-09-08 08:32:28
25
user4199443408046
mariage j :
Lakini mkuu wa mkoa yy angemtongoza wangeenda polisi au Lodge? ni
2026-09-08 10:07:28
21
follow_me_tz
MR NOBODY :
sasa hili nalo ni kosa au ni suala la kusema hamtaki wamalizane wao 🤣🤣🤣 mm nachoka aisee
2026-09-08 09:22:52
27
dikonone007
Dikonone007 :
hiii nchi huu mwaka tutaona mengi
2026-09-08 08:42:45
16
asma.collection15
Asma Collection :
jamani c ni upendo😆😆
2026-09-08 08:43:09
8
jduzvert09
Ⓜ️🅰️®️LEY0️⃣9️⃣ :
This is Tanzania 🤣🤣🤣
2026-09-08 08:45:14
4
trice.hair.beaut
TRICE SALOON MWANZA :
😁😁kwani mkuu wa mkoa wa mwanza ni nani nikajaribu
2026-09-08 08:52:15
71
edness5
E official 👌 :
kwahy mkuu wa mkoa hapaswi kutongozwa imeandika wap😂
2026-09-08 09:01:19
25
user4349285178343
mom twins :
xaxa kama amekupenda ni kosa jaman
2026-09-08 08:50:59
20
perfectoutfitstore
Perfect outfit store 👗 :
Sasa hapo kosa lake lipo wap
2026-09-08 10:35:30
6
momg721
mom g🥰 :
Sasa mtu asielezee hisia zake
2026-09-08 08:35:03
15
e6.dick
Pl🤗 :
Kuweni makin na mim sitaki utani na mtot wamtu saii mtot wamtu akiniambia ananipenda napiga cm polic nasema kuna mtu ananitishia aman eeh! c ndivo tunako elekea🤣🤣🤣
2026-09-08 09:23:22
9
betterfry3
betterfry🦋 :
sasa Kuna shida Gani jamani
2026-09-08 08:16:31
11
To see more videos from user @davimess26, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About