@faith_thenics: 🔥 28 DAYS PUSH-UP CHALLENGE WEEK 4💪 Push ups challenge imefika! 🎯 Siku 28 za kujenga nguvu, stamina na upper body kupitia push-ups. Tunafanya mara 3 kwa wiki na kila wiki tunapandisha challenge hatua kwa hatua. 🔥 💪 Usibaki kuangalia wengine wakifanya jiunge nasi leo! 📲 Nafasi zipo — Tuma ujumbe sasa kujiunga na group na kuanza challenge yako. 🔥 Push. Progress. Transform. Tunaanza pamoja, tunamaliza pamoja! 🚀#pushups #push #pushupchallenge #gym #GymTok
kaka tupekelee video Hata video You Tube tukaangalie ,wengine uchumi haupo vzr ila tuna interest kubwa na mazoezi yako
2026-09-08 17:01:39
1
boy :
kwenye kulipa 15 umezingua, mimi Nina app ya homeworkouts ni app ambayo Ina aina tofauti tofauti za mazoezi sio pushups tu, ukifanya pushups tu utachoka haraka na mood kuisha.
2026-09-13 12:55:04
1
ibrahim2626 :
kaka vp
2026-09-10 16:00:47
1
J macron. 🗿 :
walio ungwa kwenye group tujuane
2026-09-08 17:56:55
1
seed of God 🕊️ ambassador🦁🦁 :
bro xaxa na vile uku kitui kukona jaa nguvu ya gym inatoka wap