@mwlrenald.mlawi: VITA VIKIWA NI VYA MUNGU WETU, HATA WAKUPINGE KWA NGUVU GANI, MWISHO WAKE UTASHINDA MBELE YAO! KWA MAANA SI WEWE UNAYEPIGANA PEKE YAKO, BALI MUNGU WAKO AMESIMAMA KWENYE VITA HIYO. WANAWEZA KUKUPINGA, KUKUZUIA, KUKUDHARAU NA KUKUWEKEA VIKWAZO, LAKINI HAWAWEZI KUSHINDA DHIDI YA MUNGU. UTASHINDA MBELE YAO KWA NJIA WASIYOITARAJIA, NA MUNGU ATAFANYA MAMBO MAKUBWA KIASI AMBACHO HATA WEWE MWENYEWE HUKUYATEGEMEA. #battlebelo #kenyantiktok🇰🇪 #creatorsearchinsights #usa #fypシ

Mwl Renald Mlawi
Mwl Renald Mlawi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 07:26:10 GMT
4367
520
139
28

Music

Download

Comments

marymanyambo2
MARY MANYAMBO :
Amina
2026-09-14 04:00:18
0
zahabu0
Zahabu Dorcas :
vita ninavo sivyangu nivita yangu
2026-09-14 06:22:03
0
user4558319146209
user4558319146209 :
vitanilivyonavyo nivya Bwana
2026-09-14 04:12:49
0
ngengele.243
ngengele 243 :
vita niliyo naye nivita ya mungu
2026-09-14 08:45:18
0
anelaa542
Ansilar :
vita nilivyo na yo nivya bwana
2026-09-13 20:13:42
0
paskwitamwalukisa
ma G :
Amina Mtumishi
2026-09-14 01:46:08
0
northernboy23
#NoRtH£rN Bo¥23rd😎🛠️. :
AMEN 🙏, NAPOKEA KATIKA JINA LA YESU KRISTO
2026-09-08 07:32:37
1
msigwa393
🔥🔥🔥🔥 :
vita nilivyo navyo nivya MUNGU
2026-09-13 14:34:30
0
kem4895
kem 😘 :
vita nilivyio na vio nivia mungu .
2026-09-08 12:21:01
0
hildakanini
hildakanini :
Amen,Amen,Amen
2026-09-13 14:34:01
0
christinasaimoni61
Christina Saimoni :
vita nilivyonavyo si changu ni vya mungu
2026-09-13 14:23:25
0
mtafyanema
nemah :
Amen
2026-09-12 19:04:24
0
leoniaernest209
0712135214 :
Amina
2026-09-08 10:13:36
0
user7854291219138
manjayo [email protected] :
Vita nilivyo navyo ni vya BWANA.... Nakukabidhi vita yangu MUNGU
2026-09-12 23:41:25
0
user3749288609060
martha :
vita ni vya bwana
2026-09-12 17:15:07
0
silvanapius2
silvanapius2 :
Amen
2026-09-12 10:48:55
0
user1201017792524
Joyce nanyaro :
Amina
2026-09-09 18:46:23
0
moreen3989
Moreen :
amen
2026-09-12 07:10:26
0
eliabethbaynit0
eliabethbaynit :
nikweli
2026-09-14 12:05:14
0
tereza.ekima
Tereza ekima :
amen amen amen amen
2026-09-10 01:17:51
1
user26177065951880
user26177065951880 :
vitanilivonavyo navonivyabwana
2026-09-11 23:18:14
0
zainabkweka593
Zainab Kweka :
Ameni vita vyangu ni vya bwana
2026-09-11 23:13:22
0
tuzasimbenga
Tuza simbenga :
amen
2026-09-11 22:39:06
0
dm_king018
dm_king :
vita nilinvonanvo ni nva Mungu
2026-09-11 20:18:36
0
tamarisiwiti3
tamarisiwiti3 :
ameen 🙏
2026-09-08 07:38:48
0
To see more videos from user @mwlrenald.mlawi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About