@joyceholistichealthcare: 1.Kupunguza kichefuchefu na hali ya kutapika ambayo inaweza kuambatana na matatizo ya tumbo. 2.Kupunguza gesi na kujaa tumbo, hivyo kupunguza usumbufu wa tumbo. 3.Ina virutubisho vyenye uwezo wa kupunguza uvimbe mwilini (anti-inflammatory). 4.Inaweza kusaidia mmeng'enyo wa chakula #instagood #reels #fyp #fyppppppppppppppppppppppp #reelsviral .