utashanga sehemu inayovunjwa nikubwa ila barabara badae zinakuwa nyembamba
2026-09-09 10:08:18
3
zulekha machano :
Ukifika maeneo ya Nqalawa tuoneshe
2026-09-08 16:05:33
2
islamuabdull :
Barabara si Maendeleo hayo ni maneno ya kisiasa tuu
2026-09-09 05:34:35
1
Sal :
Mnajenga nini hapo
2026-09-09 18:27:10
0
lovely :
naomba kifusi
2026-09-08 16:22:41
0
JAKAMARY :
maendeleo gani ww
2026-09-08 10:27:09
1
Pink panther :
Kifusi je tutapata
2026-09-08 16:48:11
0
Mohammed :
mashallah ujumbe umefka
2026-09-08 11:16:31
0
user8763585616265 :
mukifika chuwin Banda la mbao useme pia mm nataka kifusi ante mdau tuko pamoja inshallah
2026-09-15 06:44:28
0
MARASH :
wanalipwa au wanapata ruzuku
2026-09-12 18:56:17
0
liwalo naliwe :
bububu iyoooo
2026-09-12 17:05:47
0
Dhulkarnayni Khidhri :
kwaiy sisi tukusaidie nn
2026-09-09 06:34:37
0
Muratty :
wananchi wamekubali ila wanalipwa pesa ndogo, wanajuta wanaona bora wangeuza kipindi cha nyuma milion miatatu wameacha wanakuja pewa milion 40😆😆 serikal hii
2026-09-16 04:46:40
0
fahfud :
vepe eneo la pale maziwa maruhubi Ile nyumba ya bimkubwa mbona haijavunjwa
2026-09-08 09:28:51
2
SEIF MUSSA :
mneni nataka fusi
2026-09-08 17:54:26
0
user :
mulipe tu
2026-09-08 11:30:49
0
twalib khamis :
Uyo jamaa alofunga bati za maruni nyumba yke na akaandika pasivunjwe. Vip ana shida gni?
2026-09-09 06:27:47
1
fatmashirazi9 :
mabati yap hapo
2026-09-09 05:32:01
0
arewarzXhariph :
🥰🥰🥰
2026-09-08 09:12:38
0
To see more videos from user @mneni_masoud, please go to the Tikwm
homepage.