@caronadebosco: Baadhi ya wananchi wameibua hoja na kumkosoa aliyekuwa Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka, kufuatia mijadala mbalimbali inayoendelea nchini na kauli zinazotolewa kupitia vyombo vya habari. Wananchi hao wamesema wanatumia nafasi hiyo kutoa maoni yao kama Watanzania wenye nia ya kuona nchi yao ikiendelea. Mwananchi mmoja, Mohammed, amesema Tibaijuka ambaye kwa sasa amestaafu amekuwa akijitokeza kwenye vyombo vya habari katika mijadala mbalimbali, hali ambayo imemfanya kuhoji baadhi ya kauli zake, hususan anapozungumzia masuala ya maadili. Mohammed amemkumbusha Tibaijuka kuhusu kipindi alipokuwa Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, akitolea mfano wa hoja iliyowahi kujitokeza kuhusu eneo la wazi lililohusishwa na upanuzi wa Hospitali ya Hindu Mandal. Amesema wananchi bado wana kumbukumbu kuhusu sakata hilo, huku akihoji uamuzi wa kutotolewa kwa eneo hilo kwa ajili ya kupanua huduma za afya, wakati eneo jingine lilitumika kwa shughuli za michezo. “Mpira na afya, kipi bora?” amehoji, akisema masuala kama hayo ndiyo yanayopaswa kuangaliwa katika mjadala wa maadili. Aidha, Mohammed amemkumbusha Tibaijuka kuhusu sakata la fedha lililowahi kumkabili wakati akiwa serikalini, akidai kuwa suala hilo lilisababisha kujiuzulu kwake. Kwa upande mwingine, mwananchi mwingine amedai kuwa Tibaijuka ni miongoni mwa watu ambao, kwa mtazamo wake, wamechangia Tanzania kufikia hali ya umaskini. Wananchi hao wamemtaka Tibaijuka kuwa makini katika kauli zake wanapojadili masuala ya maadili na mwenendo wa nchi.

SKY GLOBAL ONLINE
SKY GLOBAL ONLINE
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 08:44:49 GMT
6497
148
43
19

Music

Download

Comments

chax22
chax :
binadamu hubadirika, mama Ana amebadirika nakujitambua kama Pole Pole nyie fikra zenu bado ni za zamani na kutawaliwa na watawala hambadiriki 2026 sio kama 20215 tofauti kabisa
2026-09-08 10:31:07
1
husseinamosimwanjela
YACO TV :
we acha tu inatia hasila
2026-09-08 10:12:27
1
chamakubwa
GSN :
Sheria za Madini wakati zinawekwa na Bunge Warioba alikuwa Mwanasheria Mkuu baadae akawa Waziri Mkuu alikuwa wapi kupitisha sheria za madini ambazo ni mzigo kwa Serikali illa ni nafuu kwa mwekezaji, wenye D mbili unaweza usielewe ila ndio hao wanaotoa rasimu ila Afrika ni shida hakuna mkamilifu
2026-09-08 11:42:24
1
agathastephano1
agathastephano941 :
ni kweli alisema milioni mia Moja ni hela ya mboga simpendi hata kidogo
2026-09-08 10:48:55
3
wahubani
WAHUBANI :
ni kweli kabisa huyo mama ni mwizi ametuibia sana ana sakata la escrow
2026-09-08 10:47:11
3
asiat_habeeb
Asian Habeeb Kabarega :
Asante sana Bro
2026-09-08 08:48:56
2
kadweka.adam
KadwekaJr :
Watanzania mcsahau kwamba kanisa Catholic ndy lilotumia kupitia bank yake ya mkombozi kupitishia hizopesa haramu nabaadhi yamaaskofu walipewa mgao
2026-09-08 11:04:38
2
mwasikitoko21
mwasikitoko :
kiukweli viongozi wengi wangekuwa wanafunga midomo yao maana wameoza nawanachefua
2026-09-08 10:37:48
1
weda.ndunda.wdzain
weda ndunda @WDZAINI17 :
tunaficha chakula na sio tekolonojia
2026-09-08 11:48:09
0
emmanuel.mandoo
Emmanuel Mandoo :
sa tusijirekebishe !!
2026-09-08 10:39:21
0
deemwanaharakati6
Dee Pablo621 :
Media uchwala hiz zinahoji kikundi kile kile kila siku
2026-09-08 11:50:03
0
mambiola
mambiola :
walio kua madarakanini wamestaafu watulie tu waache walio kazini hatu hitaji ushauri tunahitaji alie kazini afanye kazi na sio akiwa kazini anakua mjumbe ndio akitoka ktk utawala wa mwenzake yy ndio awe mkosoaji hapana yy alikua hapo na watu bado wana lalamima asidjani malala miko hayo eti yy awe hayumo yupo pia kwa vile alikua huko huko
2026-09-08 12:59:14
0
abdillahnassor915
Mjinga na Kwao :
wanaoandaa hii mijadala mnatuchukuliaje watanzania?
2026-09-08 11:12:04
0
george517313
George :
mwambieni ukweli
2026-09-08 10:58:21
0
charleskiyumbi85
Charles Kiyumbi :
jinsi haiozi wamkamate afunguliwe kesi ya uhujumu uchumi
2026-09-08 11:20:24
0
mthailandtz
MTHAILAND wa TZ :
Ana lolote huyu mama yeye mwenyewe kaaribu sana nchi hii ,amwache mama samia afanye kazi yake.
2026-09-08 11:48:44
0
marrymanka423
Marry Mankawinner72 :
utawala wa zamani ulikuwa ukitoa maoni kama mstaafu.hawatafutwi machawa kukashifu watawala ni.haki yake kikatiba kutoa maoni.
2026-09-08 11:50:22
0
user9844070041054
user9844070041054 :
WASTAAFU WASILIPWE TENA MISHAHARA AMBAZO NI PESA ZA SERIKALI. WANATUNZWA LKN BADO ANAITUKANS
2026-09-08 11:20:27
0
adammuki696
muki :
ata uku kigamboni kuna sehem kahozi mali yake kuna viwanja mpk.leo yn yy asiongee kabisa
2026-09-08 10:26:16
5
chismo_4k
suleiman :
kweli kabisa
2026-09-08 10:41:52
0
cherry92348
cherry :
escrow
2026-09-08 10:47:38
0
richngowi
RICHARD NGOWI :
You can not write off evil
2026-09-08 13:14:04
0
rajabmnyimwa
ramadhani maramsha :
alafu iki kibibi kinajifanya kisafi lakini kikitupiga bilioni 1.7 anatuona sisi wajinga.
2026-09-08 10:25:27
2
17umm
echoooz :
Huna point kaka
2026-09-08 10:52:38
1
abdulkarimuhusn
abdulkarim :
dah hii nchi bwana huyu wa pili SI yule baunsa alisema atavunja watu miguu wakiandamana
2026-09-08 09:28:24
0
To see more videos from user @caronadebosco, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About