jamani swala za usiku nyie mniulize mimi ziliponitoa na ziliponifikisha Allah Akbar yaani hata mimi mwenyewe siamini kama nimefikia hatua hii nyie nyie nyie hizi swala za usiku zinajibiwa kwa mda mfupi mno yaani majibu yake ukiomba kwa nia moja hata siku tatu nyingi takbir
2026-09-08 17:45:22
20
White Maasai 😎 :
I can tastisfy all you said is true because I have witnessed it my self. alhamdulilah
2026-09-08 20:41:46
0
Rey J❤👮🇹🇿 :
Ukweli mtupu nina ushaidi na swala za usiku❤️🫂
2026-09-08 09:39:21
34
binadamu wabaya🇹🇿🇨🇩🇲🇾🥰 :
mungu anipe nguvu zakuamka usiku
2026-09-08 11:50:20
12
Zamzam :
true eeeeeeee
2026-09-08 16:48:11
0
abuu Khalid 🇹🇿 :
kwny sijda ya mwisho omba rabanaa atina fiduniya hasanat mara 3 Baada ya salama rukuu tena uko nje ya swal hapo omba hat Kwa kiswahili hapo toa na chozi kbsa Kisha bada ya hapo NI Sunna toka nje angalia mbingu ilipo omba maombi yako tena pale ikiwzekana Lia kbsa utaona maajabu mm NI Shahid WA haya
2026-09-08 16:47:39
6
#Thefirstbon🌴🌴🌴🎧🚘 :
Wallah sheikh kaongea kweli tupu.
2026-09-08 09:20:55
3
00216273883m :
very true
2026-09-08 16:27:51
0
Umar👳🏽♂️ :
Fact kbs japo now nmekua mvivu kuamka usiku ila inshallah allah anifanyie wepes nizi anze tena
2026-09-08 11:31:43
8
Abuu Reelan :
mmmmmmhhhhh
2026-09-08 11:26:28
0
ibra :
sheikh asante,je swalah ya tahajud hua ni rakaah ngapi
2026-09-08 17:39:52
0
fetty✅🌺 :
Je unaweza kuswali ikiwa taa zimezimw au zinawaka ipi sahihi hapo
2026-09-08 16:07:03
0
Akhun Graphix | Brand designer :
designer akipewaa mawaidha 🔥🔥🔥
2026-09-08 12:02:19
0
nalule tiffa :
punguzaaa sauti watasikia 😂😂😂😂
2026-09-08 19:00:44
0
Nuhaylah harth RAZAQ :
wallah Allah alinijibu hapo hapo usiku uleule Tena ikiwezekana funga na swaumu wallah ninaushaidi hakika Allah ni mwenye ahadi ya kweli
2026-09-08 18:57:41
2
Naymuu :
nimerthibitisha binafsi na Allah ni shahid kwangu
2026-09-08 16:41:56
2
Nasir Kaka✨️ :
ALLAH AKUHIFADHII SHEIKH WETU UMETUPA CHAKULA CHA ROHOO❤️
2026-09-08 09:09:14
2
Mamii :
kweli kabìsa
2026-09-08 11:30:36
1
Esmaa cosmetics🥰 :
wallh ninaushuhuda n hii allhu akbru🥰🥺
2026-09-08 11:26:11
1
Fatma Rashid530 :
kweli kabisa
2026-09-08 09:02:51
0
Tina Kahati :
Wallah naona hii ni sahii kbs Allahambllah nibora nilale kuchelewa lkn nijue nini nafany
2026-09-08 21:34:06
0
Fetty🥀@00 :
wallah nina ushuuda
2026-09-08 20:43:45
0
To see more videos from user @sheikh_kosonso.official, please go to the Tikwm
homepage.