Uzuri kitambi changu nikilala na chenyew kina lala yani kiufupi kinanisikilizaa embu tuashe bwan 😂
2026-09-08 20:36:12
22
sekela :
uzuri babe wangu huwa anakichumu😂😂😂anakipenda veeep🥰😂
2026-09-09 08:17:52
11
Angel Bae Tz :
Vivi ulituambiaaa una mimba🥹
2026-09-08 09:39:00
12
Bitebeut-collectiontz :
Bitebeut-collectiontz ni mmojaa tu ogopeni matapeli 👌👌 call/whassap 0759432696 njooo nikupee shepu ya ndoto yako bilaa madhara yoyotrrr🥰🥰🔥🔥👌👌
2026-09-08 19:34:33
6
-🦋Carmel- Ting🤭✨ :
Uo mda unawaza style za kuinama ss tuko bize na vitambi vyetu kufunga mzigo china na100m alizonihonga bwana ako juu ya hii kitambi yetu na anakipenda balaaa 😁😁😁
2026-09-08 21:37:23
3
vivian :
situmii Dawa kanipenda mm nakutambi changu 😂😂😂😂
2026-09-08 17:14:59
6
mayrah22 :
wewe jamani mmh
2026-09-08 19:48:49
1
kajol :
Napataje
2026-09-08 18:59:08
1
@joyce :
joo tukuonyeshe
2026-09-08 20:02:50
2
user8672812388779 :
tumelidhika navyo
2026-09-08 19:04:39
1
Noela :
mm wakwang kanipnda na stail zote nakaa na anainjoi sana akikiona ichi kitambi
2026-09-09 11:43:20
2
pendo Richie :
sis tunapenda vitambi
2026-09-08 19:37:45
1
Raven🥰❤️ :
😂😂hata uwe na shepu la aina gani mtu kama hakutaki ni hakutaki tu
2026-09-09 07:27:00
1
ms_ salha🦋 :
kama mwanaume wakoo akusalitii ntakuja kununuaaa
2026-09-09 06:30:22
1
daynes🎧🎸❤️ :
kwan n shngap
2026-09-08 19:31:40
0
filo :
as well as aviwashi Wala aviumi
2026-09-08 19:15:28
1
official zee luxe🩷 :
Sh ngap wanauza
2026-09-08 15:00:29
1
To see more videos from user @vivi_roma2025, please go to the Tikwm
homepage.