@mamusa20: nna mengi ya kusema baba lakin nnacho weza kusema Allah akurehem baba yangu tutakukumbuka siku zote mjane wako umeachia watoto wote alee mwenyew kinachoniuma zaid kila siku anadai nimemkubuka baba yako kila siku namuota wallah nimelia uciku mwangu anaswali na kukuombea dua upunzike kwa amani kipenz changu nikadari ya Allah sote njia moja😭😭

mamusa20
mamusa20
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 09:38:57 GMT
7046
549
156
0

Music

Download

Comments

kusaga07
ahmad :
pole mdogo wetu hakika sisi wote ni wa allah na hakika ya mtoto mwema ni yule anaewaombea wazazi wake dua so kuondoka kwake kue somo kwetu kwamba na sisi leo au kusho tutaindoka katika mgongo wa ardhi na tumetanguliza nini tutakapokutana na allah hakika haujapoteza peke yako sisi pia tumepoteza captain
2026-09-09 12:17:35
1
salimuallysaguti
saguti :
duh alifalik lin huy faza mbon sijui
2026-09-08 21:03:46
0
awadhi.swahibu
Awadhi Swahibu :
pole san
2026-09-08 18:54:07
0
ummy.alilu
Ummy Alilu :
pole kipez
2026-09-15 17:01:35
0
mwajey.othuman
mwajey othuman ❤️💕 :
jaman adi machozi yanitoka nilikua nishasau ila umenikumbusha mchina wangu jaman duuuh Allah ampe kauli thabiti uko aliko njia moja kikubwa tusisahau kumuombea dua
2026-09-17 07:00:21
0
salha.beybe
S@lha De Princes ❤️🥰💋 :
Dear Uncle Allah aende Lee kukupa kauli thabiti 😭😭😭…Pooleh dada
2026-09-08 23:41:26
0
sabrahatick
Sabrah🦋💦🍂 :
dah😭😭😭pole jmn
2026-09-13 05:09:19
0
saidi.kilauli
saidi kilauli :
pole sana
2026-09-08 20:04:25
0
faudhiakitenge2
Faudhia Kitenge :
pole kipenz tutamkumbuka milele😭😭
2026-09-09 04:03:07
0
user4484790296906
ayoubu ayoubu :
zidixha Dua uxilie dad 😭😭😭😭
2026-09-08 19:37:00
0
mbilinyo.tz
MBILINYO TZ :
pole sana dada kaz ya mungu haina makosa nyamaza usilie
2026-09-08 10:30:02
0
yohanakilangoroja
yohana yohana :
pole sana namjua. huyo mzee nilishawai kua mteja wake pale mkongoloni pole sana
2026-09-09 15:40:51
0
junejonathan880
lady J🥰 :
Ooh jamn namfaham dah kumbe amefariki pole sana dear🥲
2026-09-09 18:18:45
0
shekalage2
ALLY CUTTING DESIGNER :
pole sana 😢 😞 inaumiza mchina mweusi alikua Rafiki angu sana
2026-09-09 07:31:13
0
allysamfinga
baba humairaty :
inatosha kipenzi
2026-09-08 09:54:37
0
bestmo74
mohamedhamisiamir :
mchina mweus .fundi wa kwanza kuweka umeme kwetu na kututoa ushamba.rest easy kamanda
2026-09-13 03:57:09
0
kibokoyamajininawachawi
Dockta msambaa / dockta sheshe :
dada samahani mbona umenifanya mwiliumekufa ganzi maan alinihifazia vitu mwezi mzima nikiwa nimelazwa mlalo hospitali ila😭😭😭😭😭😭😭 sawa pole nimeshidwa nisemeje
2026-09-09 18:49:25
0
user8195136114206
Hass Kp :
pole sana
2026-09-08 13:25:11
0
user775067708584
mtaita :
udug pole sana usilie muuombee2 dua
2026-09-08 18:31:07
0
allysamfinga
baba humairaty :
machozi yako yaliza wengine
2026-09-08 12:17:47
0
allysamfinga
baba humairaty :
mbona wanifanya naliya killa siku mamu
2026-09-08 09:54:21
0
saidi.karimu
Saidi Karimu :
duu umenikumbusha machungu ambayo nimeyasahau nikimkumbuka lafikiangu sana bugi
2026-09-08 19:34:33
0
sefu.yahaya2
Seif Yahya cr7 :
mungu ampunzishe mahali pema kwani hauko pekeako hata sisi wengine tumepoteza hiyo nafasi maumivu yako ndo maumivu ya sisi wengine
2026-09-09 06:51:03
1
twaibah6
twaibah :
muombee t baba pole
2026-09-08 10:01:06
1
shengovi0927
LEONARD SHENGOVI Jr :
Pole mdogo angu....tumuombee rehma za Allah tuu
2026-09-08 16:20:20
0
To see more videos from user @mamusa20, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About