@asilinahalisi: Sikiliza Ujumbe mzuri kutoka kwa WASWAHILI wimbo unaitwa PENGO Umeukumbuka? #asiliyetu_tanzania_yetu #bongofleva #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

ASILI&HALISI
ASILI&HALISI
Open In TikTok:
Region: CD
Tuesday 08 September 2026 09:38:59 GMT
14613
896
82
39

Music

Download

Comments

mbarakatila
Muba :
waliotajwa wote aliyebaki hai ni Khadija Kopa peke yake
2026-09-09 07:18:38
8
kassimmpegia
kassim Mpegia :
Nyimbo yakitambo sana hiii daaaah nimekumbuka mbali sana, WASWAIHIRI, NGOMA KALI SANA HIAPA VITOTO VYA 2000 MTUACHE.
2026-09-08 20:39:59
5
selemanihussen
selemani maliva :
genz hawaamini wanajua ni ngoma mpya
2026-09-09 06:06:22
4
user5619848156849
Mary mushi :
jamn hii nyimbo inaitwaje?
2026-09-09 15:20:10
2
cleophacebwire325
papaaa :
Enzo zetu bhna ..dah acha kabs
2026-09-09 05:55:07
1
khamisijuma368
khamisi Juma :
😁 daaah nyiewatu yanimmenikumbusha mbalisana mungu awenanyibwana
2026-09-09 10:14:05
1
okomozeman
Okomo Ze Man :
Huu ndio ulikuwa Mziki sasa kwanzia biti mpaka Maneno, mpaka ujumbe na wakati wa Kusikiliza unasikiliza Popote hata mbele Mama Mkwe, hakuna cha iangalie isuse
2026-09-09 08:12:23
3
user1131479525066
Emma Elias :
yario ongerewa uko mengi yametimia
2026-09-09 02:59:07
2
petermalaga3
petermalaga3 :
Jamaa walikuwa wanaandika sana nyimbo zao....one of ma favorite group.1. Kila mtu na starehe yake 2. Yupi bora 3. Pengo.
2026-09-09 18:42:41
2
amosidaniel695
Amosi Daniel :
ngoma Kali sana hii wako wp Hawa jamaa
2026-09-09 05:38:53
2
mlenoluis
mleno luis :
kwani nimbo kaimba nani naisikia saut ya marehem mez b
2026-09-09 05:17:47
1
stamilimapunda755
stamili mapunda :
Safi sana ndugu zangu
2026-09-09 17:37:19
1
malimi98
malimi :
"pengo ni hasara na ni hasara mara dufu,toka adam amuasi hawa na karudisha utukufu?"
2026-09-09 12:00:05
1
kitara103
Kitara :
Hatar Sana wanangu mmetisha
2026-09-09 04:58:17
1
xiao.you17
xiao you :
na kuna ile wazo la leo pita nayo kiongoz
2026-09-09 08:34:46
1
kachero05
kachero7 :
wanangu mumenikumbusha mbali sana kz indelee
2026-09-08 20:42:01
1
user1886680457987
abbas juma :
hii ngoma mbona boompley haipo naipataje wanangu
2026-09-09 09:03:50
0
said.mipango
said mipango :
awa jamaa walikua mbele ya muda sana
2026-09-09 04:18:44
1
jovannykakuke
le villageois :
nipe jina la wimbo tafazal
2026-09-08 19:56:47
1
casanovasuleii
Casanova Sule II :
umetisha mwanang
2026-09-08 20:29:59
1
gangsters_gang41
✊🏽Lavie🤙🏽d'Antoine🖖🏽 :
Uhaki bros, 30/30💔💔💔💔
2026-09-09 15:54:40
1
issa.mbwana66
issa mbwana :
kinachoumiza zaid ukisikiliza hiz nyimbo ni marafik w kipindi hicho weng wao leo hawapo.n hawajulika walipo yaan tunamarafiki wapya t
2026-09-09 10:24:16
3
kelvini.mgaboniel
Kelvini Mgaboniela :
mungu awalinde sana ila msiimbekuusu samia
2026-09-08 21:57:46
1
life_goes_on5546
Life_Goes_On :
Wasahili
2026-09-09 01:20:12
1
user1131479525066
Emma Elias :
umo
2026-09-09 02:59:17
0
To see more videos from user @asilinahalisi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About