@queenluluuu_: HAPA NI PARADISE WATERFALLS IPO MKOA WA KILIMANJARO..MAILISITA TULIPOFIKA HAPO TULIAMBIWA KUNA WATERFALLS NA MAJALI PANAITWA (KWA BIBI) PANAFANANA KABISA NA MAUNGO YA MWANAMKE NDIPO TUKAPATA CURIOSITY MIMI NA RAFIKI YANGU @Jordan Goodluck Mongi WENGI WALIOGOPA KUSHUKA HUKO KWA SABABU NI RISKY KWENDA KUFIKIA HAPO KWA BIBI..LAKINI WE MADE IT THERE NA IT WAS WORTH ITโบ๏ธ๐ซถ๐ป๐ฑ MUNGU WA AJABU HAYO MAJI YANATOKA NDANI YA MWAMBA KWENYE TOBO DOGO ILA HAYAISHI WALA KUKAUKA..๐ฏ๐๐ผ
queenluluuu_
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 09:50:12 GMT
Music
Download
Comments
Abdulli.2505 :
What are you meaning๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-09-08 21:23:40
0
gax :
apo mhm. gudubai!!
2026-09-08 20:27:56
0
Sadick Bukuku :
are you good guide
2026-09-08 20:37:28
0
maulid mohamed :
kama ya kwako๐๐
2026-09-08 16:03:52
61
dalali_roja_dodoma :
WATU WA MOTONI๐๐๐
2026-09-08 16:59:09
25
Ngomuo jr :
tuko busy na kuombeleza
2026-09-08 11:39:13
55
๐๐๐ฐ๐ฅ๐๐ฉ๐ฉ๐๐ฅ ๐๐ :
Kuna comment moja NATAFUTA ap๐
2026-09-08 16:18:43
20
georgejonas#mr tinga# :
Nawaza kinachomchekesha ninini!!โฆ
2026-09-08 12:50:28
15
gwix khan :
alafu we madam nachoka mmi
2026-09-08 15:56:09
1
shebylance08collection :
๐บ๐ฒ ๐๐ถ๐๐ฒ๐ ๐ธ๐๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐น๐ถ๐ฎ ๐๐ถ๐ฑ๐ฒ๐ผ ๐ฎ๐ฑ ๐บ๐๐ถ๐๐ต๐ผ ๐ฏ๐ถ๐น๐ฎ ๐ธ๐๐ถ๐ป๐ด๐ถ๐ฎ ๐ฐ๐ผ๐บ๐บ๐ฒ๐ป๐ ๐๐ฒ๐ฐ๐๐ถ๐ผ๐ป ๐บ๐๐ฒ๐ป๐ด๐ถ๐ป๐ฒ ๐ธ๐บ ๐บ๐บ ๐ด๐ผ๐ป๐ด๐ฎ ๐น๐ถ๐ธ๐ฒ๐ ๐คฃ
2026-09-08 21:21:37
19
๐๐๐ฃ๐๐๐๐๐ฅ๐ โ๐ฃ๐ ๐จ๐ :
hahahaha nakujua ujawai kuwaga mzimaa
2026-09-08 15:05:59
6
amir mariale :
la Bukoba ama Uganda ama Kigali ๐คฃ
2026-09-08 16:44:47
5
Steven Ngussa :
paradise
2026-09-08 12:10:21
0
no body :
wahaya tujuane
2026-09-08 23:05:28
2
blacktaker๐ถโ๐ซ๏ธ :
siwapend wanaosema tuliokimbilia comment...
2026-09-08 20:14:00
5
Prince Miso :
unaonekana unapenda sana
2026-09-08 16:40:29
8
Godii backup :
Inaonekanaje๐๐
2026-09-08 21:19:32
1
๐ซVesper๐ซ :
mmmh ninashindwa kuelewa nashindwa kuelewa ๐ณ๐ณ๐ณ
2026-09-08 21:12:54
1
Santus Laulent :
zambi zangu zote utabeba wew๐คฃ๐คฃ
2026-09-08 19:13:43
4
afro kizzy :
tulip kimbilia.katika comment tujuwan
2026-09-08 19:52:08
4
jay breezy90 :
Shida sio wew ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ unabidi tukuombeee
2026-09-08 19:22:25
1
queen rey fashion :
๐๐๐Nikalale mie
2026-09-08 12:20:44
3
MR SMILE ๐ :
lulu we unakuwa hv๐๐
2026-09-08 12:10:56
2
Tygar Sylver๐
๐
๐
๐๐๐ :
Wahaya Falls,hii bora ingekuwa Bukoba๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-09-08 22:01:11
1
To see more videos from user @queenluluuu_, please go to the Tikwm
homepage.
ยฉ 2021-2026 TikWM. All rights reserved.