@zebra_restaurant_: KUBWA KULIKO Kama jina la package yenyewe linavyojieleza, hii ni package yenye MBUZI MZIMA NA MKUBWA, pia inakuja na mchanganyiko wa vyakula vya aina mbali mbali, kama Mandi, Pilau, Mandi Nazi, Biryani, Chips yai, Chips Kavu, Ndizi mzuzu na Sauces za aina saba...kwa kifupi hii ni kwa wale wapenda mboga saba... Wale matajiri ambao wanataka ku enjoy kwa pamoja kwa package za kujumuika pamoja kama hizi ambazo huwa zina sifa ya kuimarisha ujamaa... Package hii itakua ya watu 12 hadi 15: Bei ya package ni 250,000 tu Pia tunafanya Delivery na utalipia gharama ya sinia kwa ajili ya delivery ambayo ni 10,000/= Ukiachana na gharama za sinia, pia gharama ya usafiri ni juu ya mteja... WEKA ODA SIKU 1 AU SIKU NYINGI KABLA NAMBA ZA KUWEKA ODA NI: 0745 117440 0764 689647 0688 151783 0658 722393 WHATSAPP 0688 151783 TAFADHALI TUPIGIE, USITUME SMS ANGALIZO: ukiona tunachelewa kujibu whatsapp tafadhali tupigie kawaida kupata huduma yako kwa uharaka. LOCATION: TUNAPATIKA KINONDONI BIAFRA, "MTAA WA ATLAS ROAD"... Kwa BOLT, UBER au GOOGLE MAPS andika "ZEBRA RESTAURANT DSM", NAMBA ZA SIMU ZIPO KWENYE BIO YA PAGE YETU HII.

ZEBRA RESTAURANT
ZEBRA RESTAURANT
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 09:50:57 GMT
48496
1969
13
34

Music

Download

Comments

izdsonsi
IZDツ丂ㄖ几丂丨💝💝 :
hii shingapi 👏👏
2026-09-08 13:40:52
2
chimama570
Gracious6@❤️ :
shngsp
2026-09-08 10:09:39
1
kassim.sekoba
Kassim Sekoba :
nyama ya nn hiy
2026-09-25 11:08:27
0
nanahog45
it's nanah🦋🌸💞 :
Mnajuakupika
2026-09-09 16:03:30
0
mayai_house
Mayai_House :
Huo wali mtoe 😂😂😂
2026-09-09 18:32:27
0
suddy.mrisho
Suddy Mrisho :
zebra mnatisha sana
2026-09-12 12:15:19
0
user7147206872412
dee cute💘💘 :
👌👌👌👌👌
2026-09-10 13:47:27
0
enockpcsun
ENOCK PCS DE LA 2 :
😱😱😱
2026-09-08 10:05:48
0
edmund.mallya
edmund Mallya :
🥰🥰🥰
2026-09-10 16:12:40
0
To see more videos from user @zebra_restaurant_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About