@mtangalala:

MTANGALALA TV
MTANGALALA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 10:07:16 GMT
141851
4450
103
59

Music

Download

Comments

juliana.mbilinyi8
Ms mbilinyi ❤️❤️❤️❤️ :
mwache akasilike kwani pia ni mwizi anaiba wachezaje wa Simba kambini kwani uwongo kwani mwizi🥺🥺🥺🥺
2026-09-08 11:29:23
19
user3186009811056
Kidotiany :
kwani Kila kinachoongewa lazima ukijibu!
2026-09-08 14:53:35
6
ezzy.eddy
Ezzy Eddy :
endeleen tuu kuwaibia wachezaji wa simba simnataka ligi muitawale peke yenu lkn pia hujui kama unashusha ushindani wa ligi ukitaka kujua angalia hizi season mbili hata derby Haina mvuto tena maana derby mnakua mnajua kabisa timu fulan inaenda kushinda hasa hapo ushindan ukwapi.Derby ni nzur mnaenda ground wote mnajua hapa ushindi ni 10/10.
2026-09-09 08:34:21
5
user6353629871281
ayubu :
mungu atakulipa unayoyafanya
2026-09-08 11:44:33
7
abdulbach2858
abdulbach2858 :
YANGA BINGWA 😁😁😁
2026-09-08 20:06:55
9
muu5980
Mazhya :
Aalafu yanga wanasifa mbaya sanaa kwawatezaji sio chama tuu hata feitoto pia aliondoka yanga tena kwa kujuta kwanini alienda yanga lawala hawezi kurudi tena yangaa
2026-09-08 14:32:12
4
mwaijangowo
gjmwaija :
hiyo kukasirika basi kuna ukweli ndani yake
2026-09-08 15:43:53
3
user9437610448258
mariam :
mwizi huyooo
2026-09-08 12:30:41
6
dytoncharles
Dyton [email protected] :
simba nguvu moja
2026-09-08 16:34:39
4
user9241216167070
zoka msongolo :
mwenda Yuko wapi
2026-09-08 20:47:28
2
charles.lazima
Charles lazima :
we sawa2
2026-09-08 11:49:26
1
fedricksancho7
FEDRICK SANCHO 🇿🇦🇹🇿🥰 :
uzuri sauti ya mtu anaetaka kulia tunaijua😂😂😂😂
2026-09-08 16:26:10
5
bin.1.habib
bin 1 habib :
Unatudanganyaaa
2026-09-08 12:49:14
1
user17343846867505
2208 :
huyo chama mshasema mzee muacheni sasa
2026-09-09 10:55:50
1
feisal.mohamed54
Feisal Mohamed :
mnaalibu ligi
2026-09-10 09:03:55
0
user1310250527968
user1310250527968 :
turudishien mwalim wetu
2026-09-10 14:08:10
0
jpaulskl
userskl :
simba nguvu moja😁
2026-09-09 14:19:08
1
user17343846867505
2208 :
kwani nyie yqnga mna nn
2026-09-09 10:55:13
1
janepius16
veria :
wambie
2026-09-10 07:35:59
0
user6050157827425
userPascar moses :
Aa Sie yetu macho
2026-09-10 07:34:56
0
hamisfurniture12
hamisfurniture 🪚⚒️ :
kweli ww unawanyasa Nyasa wachezaji!!
2026-09-10 16:52:28
0
vansarwat
Sarwat💎 :
Na Selemani pia ulimwiba mpaka anasema Yanga Nguvu Mmoja😂😂😂😂
2026-09-08 17:34:50
1
marryfransis
Marry Fransis :
mwacheni mnamvuruga nakutoa mchezoni hatosheki?
2026-09-09 17:17:59
1
pidiijose
castorina :
Akasilike lakininishakuwa ndiyobtabia yake kwani selemani amemchukua nani akikasilikabkwani yeye nani
2026-09-08 17:32:03
1
123mayaikingoflove
KING OF LOVE :
usije ukamdhoofisha compirat wako wa figisu bali mfanye ajisikie upinzani wa kweli theni biashala mnafanya ila ukitaka uwe weweweee tuu.. hapo hapana .. yani bila ronald. - mesiii hawezi pata soko na bila king kiba .....domo hawezi kufanya kitu ..ushindani uwepo biashala ziendeleeee baaasiii
2026-09-09 12:04:24
1
To see more videos from user @mtangalala, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About