Ujaongelea kuwa anajua kupigana na IQ yake ni 160... he is insanely genius, toxin immunity, pain tolerance, and the dionesium Exception on his spinal cord helping him to recover or heal above average of a normal human......
2026-09-08 11:00:24
7
MR. DEATH 99 :
me joker ndo villan na hero wang😁😁😁😁😁😁
2026-09-08 11:30:13
2
MALIKI BECKER 47 😎😎😎 :
huyu jamaaa alisababishaa maafa kwenye injustice
2026-09-08 16:14:27
2
ît's àlfà ☑️ :
batman akimkamata anawaachia polisi mbona asiimuue au movie itaisha 🤣
2026-09-09 17:15:42
2
Ally bori :
hasa jamaa tukujue kama real talk, tidiwa, au cut point unatuchanganya joker
2026-09-08 18:46:50
1
prosparro :
joker ndo villain mjanja mjanja
2026-09-08 10:36:59
6
Middle six Jr :
Me joker namkubali
2026-09-08 14:25:25
2
YOUNG SOMADIAN :
Ngoja leo nikufollow mjomba🔥
2026-09-08 11:02:34
5
Daniel Samson :
Sio kwamba anaitwa Jonathan
2026-09-08 14:45:55
3
savej 45 :
broo umejua kunifurahi shaleo naomba ulipata nafasi muelezee na Robin🫡💯🔥
2026-09-08 11:07:57
2
Allan Sanga :
batman jau 😁😁
2026-09-08 10:59:29
4
NassiR S Ally :
jatman jau
2026-09-08 11:46:02
1
IBRA ICE :
kaka🙌
2026-09-08 19:32:04
1
Cybertron :
Bat man jau
2026-09-08 17:02:04
1
buti la zungu express :
unajua broo
2026-09-08 19:41:27
1
ZaZuO5 :
Character wa hiyo joker kashafariki na ndio maana ni Ni UNKNOWN
2026-09-15 16:39:11
1
ochuvon B :
kak ana super power au
2026-09-08 19:09:35
0
Brian :
Batman jau
2026-09-08 17:06:20
1
Invincible 17# :
wewe joker ni ndugu yake na batman angalia movie ya joker 2018
2026-09-08 16:33:02
3
Maysar101 :
Joker na batman ni ndugu wanashea baba mmoja kaangalie movie inaitwa [[[joker]]]]ndo mana batman hamuwi joker
2026-10-18 06:26:59
1
empire girl BTS💜💜💜 :
kaka mbona una2ongopea wakat joker ni kaka wa batman alikuwa comedy na anamuua ama ake na ataua mtu kwenye tren na ndo safari yake ya uuaji ilianzia hapo na kuhusu ugonjwa wa akili alikuwa nao tangu yungali mtoto
2026-10-03 20:30:54
0
@Treezy :
bat jau
2026-09-08 10:25:46
2
Fax dc👑🤟🤟 :
kweli nakubali broo
2026-09-08 10:32:34
2
To see more videos from user @cutpoint101, please go to the Tikwm
homepage.