wahaya hua wanatubagua sana mim ni mnyambo tujulikane tusijulikane ila ndio mnyambo sasa
2026-09-08 12:13:38
8
venitha :
mimi sio muhaya dad yangu nishushe jamani
2026-09-08 19:28:57
1
minah malove💕💕 :
wambie
2026-09-08 16:22:15
0
🦋suna 🇹🇿🔑 :
Someni hapo vizuri namba 6
2026-09-08 10:49:12
3
jamila :
Kwani dada mbona unateseka sana na mnyambo mm ni myambo hauwezi kunilazimisha niwe muhaya🤣
2026-09-08 14:17:18
3
Ivy🔥 :
umeonaa eeh we unakitu utafika mbali ,,😻 mm cpendi watu wanaochea ugomvi huu mm cpendi walai😩 nimekupenda bure😻
2026-09-08 11:04:37
2
azymiyonga :
mimi mnyambo haijalishi itakuwaje
2026-09-08 17:26:08
2
dogo vee :
kwahyoooo.. unatakajee
2026-09-08 11:32:30
4
KALEKEZI RUTASHOBYA :
mimi ni myambo otwiyeo obufela
2026-09-08 17:19:21
2
RBM Michael :
mm nimetokea rukwa lakini nilijua na enda kwa wahaya lakini nimefika huku watu wanajikataa sio wahaya du ....
2026-09-08 11:02:53
2
Avvy🥰 :
Wambie wajue
2026-09-08 12:08:04
2
faridu :
ndyo .mm nimnyambo siwezi kuwa mhaya
2026-09-08 15:04:52
1
Aminarubondo_worldwide🌏✈️ :
Nyambo gang twendekazi..! Na Unyambo 💥💥
2026-09-08 13:17:21
1
Itsmynah…🍓 :
Me ni mnyambo na mundugeo😂
2026-09-08 18:20:29
0
Baina felix Ngemela :
umeongea 🥰🥰🥰🥰 vizuri mno
2026-09-08 17:43:02
0
user5705616123797 :
katika siku umeongea leo umeongea
2026-09-08 17:31:35
0
byelakokubanza :
na Wahaya wa mleba wanaitwaje jamani
2026-09-08 13:14:21
0
Aisha Abbas :
sahihi dada
2026-09-08 13:03:34
0
bint Richard ❤️❤️ :
kwanza wanyambo ni nini guys naomb mnieleweshe make sijawahi kusikia kabila linaitwa wanyambo mimi najua mkoa kagera ni wahaya ,,black cutty umeongea point 👊👏👏
2026-09-08 17:11:22
0
Yasinta Michael :
pongezi kwa kuliona ilo
2026-09-08 13:47:32
0
Mis eny❤️ :
na mpashwe🥺 kunielewa kiswahil changu nakijua vizuriii
2026-09-08 16:44:56
0
Johari Francis :
hata wahaya wenyewe wanajina lao wanaitwa waziba,
2026-09-08 12:18:49
2
ashleybintsuleyma :
muleba wanatoka jamii gani?
2026-09-08 10:31:27
0
To see more videos from user @ww.tiktok.comblackcutty, please go to the Tikwm
homepage.