oya wanikumbusha mbali sana nakubali wanangu wa Moro
2026-09-08 20:19:00
2
Ismin :
mkamba hiyo kaka
2026-09-08 12:19:12
1
KUNJO!!!! :
samaki sasa apo
2026-09-08 11:50:17
1
kilo :
nakubali sana kidatu,sumbugulu,msolwa ujamaa,sanje,mkula,mang'ula ..... nyumbani
2026-09-10 16:47:51
2
matolaproduct :
Mitaa ya nyumbani ☺️
2026-09-09 07:23:37
2
Tundastylish✨️ :
IYO SIO KIDATU IYO RUAHAAAA
2026-09-08 15:00:49
2
migoko45 :
Duuuh ndio yenyew hy daa kitambo kwer yan home swet home
2026-09-08 20:39:56
1
samg47 :
kitaa kabisa yani mkuu ruaha hapo
2026-09-08 21:13:13
1
Lizzy silver ✨⚡ :
Bado sole ofisaa
2026-09-11 20:36:53
0
Agness :
nimepamis sana home
2026-09-10 16:22:43
1
R k king :
umetisha famiry seet hom iyo
2026-09-11 15:00:43
0
segito :
penyewe mwanetu sweet om
2026-09-11 14:39:52
0
Willson Kisengo :
imekaa pouwa
2026-09-11 10:56:44
1
It's Rakkah✨🍀 :
yenyew iyoooo💥🔥👀
2026-09-10 14:33:58
1
Mwisinga :
jaman me nilitoka Ugweno-Mwanga mkoani kilimanjaro nilikuwa naenda Mbingu ukweni kutoa mahari ndo mara yangu ya kwanza kupita hilo daraja nikiwa na Laviha luxury cku ya kurudi nikapanda H.C SAFARI ajabu leo mke cpo nae
2026-09-10 18:14:53
1
To see more videos from user @thekingofmorogoro, please go to the Tikwm
homepage.