shee ww unaweza kuyatibu mm ninayo yananisumbua napoteza pesa sioni mafanikio unaweza ukanisaidi hili tatizo
2026-09-09 13:13:07
2
ommydax610 :
sasa unaweza kumtoa mtu jini au unamtaka kumuua mtu sheh wang
2026-09-09 14:31:24
2
huseysa1 :
swahih
2026-09-08 12:10:51
2
Lidolido :
ni kweli kabisa
2026-10-11 20:35:11
0
Ammi muu :
Swadakta habeeb...
2026-09-09 03:07:09
1
DOCTOR KHALILU :
Sahihi mwalimu
2026-09-16 15:49:31
1
UKTY~ BRINA🇹🇿🇧🇮🇺🇸🇦🇪 :
Niulize swali kwanza kupandisha kwani ni lazima jamani mbona sie tuna marohani hawapandi bana rohani nimwema nihapandi kichwani na mbona tunafanya tiba kisheria kabisa na watu wanapona kabisa et na kingine rohani anamali kuliko jini anae panda mi siwez kukubali kupandisha majini sitaki naiyogopa hiyo dhambi 🙏🙏🙏🙏
2026-09-23 18:26:02
0
Somoe Amani :
Nakukubali sana mdogo wangu allah akuhifadhi nakupenda kwa ajili ya allah
2026-09-13 05:21:20
2
ysha :
kwa hiyo sawa unatusaidiaje sheikh
2026-10-06 11:07:05
0
Aisha +254 :
nikweli kabisa
2026-09-22 20:04:00
0
mbaruksaid12 :
dawaa mpaka kiama
2026-09-08 17:26:37
1
khafidh sharif khafidh :
siyoo kweliiii
2026-09-21 17:18:36
0
Omar Abdallah :
chapa da'awah Akhy hapa tawheed tu mpaka qiyamah
2026-10-06 14:46:48
0
Abdul m❣️💞💕💖💘🥀🌹 :
mm ni a ushuhuda wa hilo kuna mwanafunz mmoja wa baba angu alikua na hayo madudu akitumia kuwatibia walikua wana jifanya ni wema sahiv kawa chiz hakuna jin mwena anae jileta ktk maisha ya binaadam kwel kbs
2026-10-05 12:21:49
0
Abuu Malik :
Hio kweli Al Akhy mim nilishawahi kumsomea mtu na ikatokea hivo akanambia yule wamwanzo smetoka ila me nimwema ndio nikamjib nikamwambia muache basi apumzike unamtesa nikasoma tena ndio akatoka.
2026-09-17 19:50:33
0
muuh kidd :
daaaah jini mwema hapandi duuh wanaopanda ni wabaya aaah
2026-09-16 19:28:17
0
UKTY~ BRINA🇹🇿🇧🇮🇺🇸🇦🇪 :
Nakuunga mkono cz mtu anae pandisha nayeye nimgonjwa tu
hii dunia ya mwisho tutashuhudia mengi🤣🤣🤣🤣🤣 eti jini mwema hapandi kichwani anapanda wapi sasa au makalioni
2026-09-08 11:31:35
4
Mau Fundi :
Shehe nimekubali ni kwel kabisa jini mwema hapand kichwan ata siku moja wote wanaopanda kichwan ni washilikina
2026-09-12 05:32:37
2
ismaily majjinii 66-6 :
hhhhhh leo umejitoa kwel ila kna sehem kdgo rekebishaa Abuu kna viumbee wmejaliwa karma na allah ndgu wpo watu waogo kwel ila wapo walikua wmepewa n allah n wakapewa imanii na hofu juu ya allah saw
2026-09-12 07:59:45
2
Bonge mpole💥 :
majini ni makorofi wanatupelekesha wamenutesa sana wallah mpaka nachoka
Muwe na akili tunao tibu kisheria nitumebakua wachache sana ndo tutakuambia ukweli wako ila wrngine waono sana ukifika aite jini lake likuelezee loo mtihani
2026-09-23 18:33:15
0
user5236129241591 :
kuwel
2026-09-13 18:21:14
0
To see more videos from user @abuuwafaa65, please go to the Tikwm
homepage.