@rohosoft: I MESS YOU

HARMONIZE WOOD
HARMONIZE WOOD
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 11:34:58 GMT
344174
70041
555
611

Music

Download

Comments

emilliana7044
emilliana :
jaman ulipromiss paulah utolia
2026-09-08 12:10:05
305
belladonnas67
🦋Bee🦋 🇹🇿🇰🇪 :
kajala analia coz people don't know 🥺🥺🥺
2026-09-08 16:22:15
40
_leel.yan
🌸Lilly🌸 :
heartbreak should be added on the 1000 ways to die list 😭😭🙌
2026-09-08 20:56:21
2
teddy1.10
Teeh 🦋 :
alafu kunamtu anakwambia mm mapenz ayajawai niumiza ww😂😂
2026-09-08 16:24:14
456
user76113826509498
Ev. Edward mwawa :
sahizi TutaanZa kusikia ngoma Kali kutoka kwa mwamba maana akiwa kwenye hizi mood anashushaga vitu
2026-09-08 14:21:12
201
stellah7734
Stellah :
uwezi elewa kama ujapitia hii hali
2026-09-08 14:19:47
479
alimauriceofficiel2
alimauriceoffiel2 :
bora umsamee mama kaka drc comment
2026-09-08 21:11:48
0
0893287444bosslandy1
boss lady :
murudiyane please my brother 🥰🥰
2026-09-08 14:58:52
1
spoiler_wa_fahh
❤️Spoiler wa Fah❤️ :
Sometimes love hurts❤️❤️But we believe in second chances
2026-09-08 19:54:02
1
user2315238597484
Jay Bright :
@#WAKISHUA:ukipata chance ya kuombea wagonjwa TAKE IT SERIOUS aseee 🙌🏽 watu wanaumwa na wamekat tamaa ✊🏽💔
2026-09-08 17:47:25
54
shamimu.amani
Queen👑 ❤️ :
jina la Wimbo nimejikuta naliya mwenyew
2026-09-08 15:05:58
90
msupa.fadhila.006
Msupa Fadhila @006 :
mungu niepushe na machozi ya mapenzi maana machungu zaiidi
2026-09-08 19:15:11
44
mgiddy.de.world
@MGIDDY.. DE.. WORLD.❤️❤️ :
HARMONIZE BEST ARTIST
2026-09-08 19:25:40
1
realblegacy1
♛ 𝓑 𝓛𝓮𝓰𝓪𝓬𝔂 ♛ :
hivi kuna maumivu zaidi ya kuibiwa kikosi najua huwezi elewa
2026-09-08 14:46:37
36
agnethaajuna
jolly@dick :
people dont know😅
2026-09-08 14:51:38
0
officalmafieh
officalmafieh :
hata sijuh kwanm mm nampemda kajala 🥰🥰
2026-09-08 14:31:52
13
farhaan.farhaan96
Farhaan farhaan :
Hawaachanagi hao..sasaivi utaskia wamerudiana😂😂😂
2026-09-08 19:04:19
9
user7113904857692
user7113904857692 :
Imagine mtu unaempenda mnaachana alfu unakuwa unawaza saivi usku kalala na mwanamke mwingne anamkumbatia 😅😅😅😅😅inauma asikwambie mtu
2026-09-08 17:16:11
25
nulu616
elfuy :
furah yangu kukaa omani2[Big LOL]
2026-09-08 14:44:13
15
majebere4
Official NICE💕 :
jina la wimbo
2026-09-08 12:51:07
29
brazvey.chichi
brazvey chichi :
kajala heri ww unaachwa n celeb mm kuna huyu eeeish jamenhanipei kitu lakini wembe n ule ule🥹😭😭😭bado nampenda
2026-09-08 19:38:58
6
enah4914
Enah :
Usijal tuko wengi tunaoumia
2026-09-08 17:04:43
5
khamis.young1
Khamis young :
hisia za mapnz Zina umiza sna dah msamehe tuu jama ameonge sana kwenye huu wimbo anzeni maesha mapya dada mbna konde yupo pouw sna 🫵💯
2026-09-08 13:18:53
9
To see more videos from user @rohosoft, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About