@kitaahakiozi: Kama umewahi kukutana na mtu wa aina hii, embu mtag! 😂 👉🏾 Taja jina la huyo mtu kwenye comment! 📲 Follow Kitaa Hakiozi kwa Reel & Trend kali zaidi. #KitaaHakiozi #ReelsTrend #Tanzania #SwahiliComedy #ComedyTanzania @SAJADI 🤴
@Dee NYANDU26:Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂🥲😂
FOLLOW ME 🙏
2026-09-08 14:06:39
4
Jorvin roma :
mamb m3ngine ya kujitakia
2026-10-03 13:21:12
0
Sam 🇹🇿😎 :
😂😂 we ungeanzaje kuskia
2026-10-03 19:16:21
0
armaj6893 :
🤣🤣🤣 Nahic ni iyo sehem wanayosimama saut haifik 🤣
2026-10-03 10:33:39
2
Sprian Bigambo :
kesi ishakuwa ngumuuuuu🤣🤣🤣🤣
2026-10-02 09:15:09
2
mp :
wote viziwi
2026-10-03 12:35:19
1
sipendag ujinga :
hahahahaha kwakweli nipeni napa niwape vocha ya 20000