@dukahuru:

Dukahuru
Dukahuru
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 12:19:17 GMT
41279
2167
37
89

Music

Download

Comments

geoffreypeter408
ROXIL SKY_01 :
mi naporomosha mitusi Hadi ajute kunizoea.
2026-09-08 12:36:56
13
mamaayra245
🌹Asha🌹 :
Mchepuko wa baba aliniulizaga et baba Yako anakujaga kula kwangu kwani mama Yako hapiki nikamjibu muulize mwenyewe anaekuja kula 😂😂😂😂😂😂
2026-09-08 14:18:52
35
faith_aidan
She's Faith :
Maswali personal najibugi "Mungu anasaidia" huwezi sikia zaidi ya hapo.
2026-09-08 12:55:01
27
rosemanlove
Rosemanlove🦋 :
Mchepuko wa baba aliniuliza baba ako yupo nikamwambia kamuulize mama 😂
2026-09-09 04:31:54
5
kidstarking
hamy store :
ukweli mchungu
2026-09-08 12:30:34
9
beatricevetgel1
Beatricevetgel🌹 :
Hv mtu anawezaj kusema kias cha pesa me hata transaction msg nafutag ndo mtu akiniomba simu asione hata kwa bahat mbya😂😂😂
2026-09-08 14:39:21
3
mikepr
mikepr :
ndomaana watu hupenda kusema uongo wanapoulizwa maswal hayo
2026-09-09 06:13:24
3
isagroisagrogmail.com
Isagro Shining Star :
unamtukana tu ili asikuzoee
2026-09-08 13:16:51
7
thereal_queenbeejojo
👑Queen Bee Jojo🐝 :
kwali Kila siku ni siku ya kujifunza kitu tuna kosea na kujifunza
2026-09-08 20:36:28
3
oldhunter125896
Ibrahim Abdallah :
naomb unisaidie kupat ajir kak
2026-09-08 12:29:28
6
samwely.ramadhan8
Samwely Ramadhan :
Napita tu lkn ukweli nime upitia apa
2026-09-09 10:43:45
3
user1093675716736
WinniLiam :
unaakiri sana libarikiwe tumbo lililo kubeba
2026-09-08 21:36:05
5
user9266633709677
user9266633709677tifa :
Kweli kabisa
2026-09-09 17:08:06
0
user6455898026580
user6455898026580 :
Mm bwna mtu akiniuliza namdanganya yaan nina danganya siwaambiagi ukweli
2026-09-09 06:07:12
1
m37142335
m :
jamaa umeglow,umetumia nini
2026-09-09 15:49:24
0
lunietystore1
lunietystore.. :
Hii kweli
2026-09-08 14:00:14
1
inner_lift0
Inner Lift :
Kweli kabisa
2026-09-08 14:07:34
1
user1376799555092
Mo saady :
mambo vp kaka
2026-09-08 17:30:14
1
raybella_madulu
Rey Calisto designer 🌹🌺 :
🤔
2026-09-08 19:20:57
0
sweetbetty20
sweetie❣️ :
2026-09-08 18:02:25
0
jb485581
JB :
huyo mhm kabishs na nabadilika Kwanzaa sasa
2026-09-08 14:49:29
0
salmabright93
Salma mimi93 :
Ila uyu mkaka ana komwe zuri 🥰
2026-09-08 19:28:50
0
neemayoshua_
Mumy tiktok♏️😎 :
Kweny apo apo unampa jibu lakumkebei zaidi
2026-09-08 15:18:35
0
su.chibonge
su chibonge :
😁😁😁
2026-09-08 12:29:11
4
To see more videos from user @dukahuru, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About