Nisingechukua hata alufuu ishiriniii kwa maswali hayo 😂😂😂😂😂
2026-09-08 17:36:23
115
Irenelenny :
nilikuwa hivi kabla sijamjua Saidi
2026-09-08 18:48:19
166
Pinky :
Kwan anaulizwa nn man m niko bize na merin
2026-09-08 19:42:13
49
cerry🤣😍 :
Hela mnatoa wap🥺
2026-09-08 14:54:01
78
Sia❤moon🌙 :
nunua showcase
2026-09-08 18:19:53
14
Princess Mo 👑 :
Uwezi amin me nilikua NA angalia move azam two
2026-09-08 15:08:45
65
user833652599479 :
Hata mimi huku nimepata zote jamani mama 🤣🤣🤣🤣🤌🏻
2026-09-08 14:42:46
154
rafida :
mbona Niko busy na merlin 🤣
2026-09-08 15:42:16
2
mponda💪💪 :
huu mchezo refa alikuwa tayar ana team yake, kev hajapewa ata nafasi ya kusalimia mashabiki tayar kaambiwa mechi imeisha kashindwa
2026-09-08 13:01:58
82
Nsangalufu Joel :
The game isn't on fair ground...why didn't you start with Kelvin?😂
2026-09-08 14:05:24
5
Aggy P❤️ :
me npo busy naangalia movie ya MELIN kwny TV 🤭 maswali nawaachia nyie 😅😅😅
2026-09-08 22:43:35
1
gerrald ndukai :
hapo mama umezingua ilitakiwa akimaliza majibu yake ndioo mwisho, alafu baby boy nae ajibu zake akikosea ndio baby girl achukue kutoka kwa bby boy. ndivyo ilivyotakiwa ila sasa bby boy atujui kama. yeye anajua au ajui umemuoneaa
2026-09-08 20:54:35
24
DADIE'S FAV🍓 :
backet jaman y not water😀
2026-09-08 14:49:30
0
tee16 :
The game is not fair hata akikosa unaendelea mfano; umeuliza animals kept at home are called? Yy kajibu cows of which is wrong are called domestic animals.
2026-09-08 17:51:03
0
amisa_ :
me nip busy na move [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-08 15:12:17
0
Ayesha 🥰 :
Me nko bize naangalia MERLIN 😅😅
2026-09-08 18:55:06
19
@2in1 one time⛈️🧕🍒 :
kuna mtu yuko coment section angeshindwa kujibu dah🤣🤣🤣🤣
2026-09-08 20:24:42
8
shite❤️ :
Nipo busy naangalia merlin 😁
2026-09-08 19:19:51
5
Eshamgabo@2023 :
Mungu ni bariki na mimi😁Pesa niwape wazazi wangu
2026-09-08 14:50:49
19
malikia saimoni 🫶👀 :
Mabao tunaangalia movie kule nyuma na ambao wanaijua ile movie wanitajie jina la movie 😂
2026-09-08 15:31:11
27
Felifa :
kakosa ukampendelea swali lile la animal kept at home ni domestic animals
2026-09-08 19:22:07
6
My Life Still My Life :
Inapendeza kwa uwezo huo na Mungu akubariki na wanao pia ila kwenye shopping wakumbushe watoe kidogo kwa watoto wenzao wahitaji hata nguo, yeboyebo, sabuni wakijua Hilo ni jema zaidi kwenye maarifa yao. Nakubali sana Mungu mkubwa
2026-09-08 19:27:48
5
Tusecakes_ packaging makambako :
Kunakitu unamjengea uyo kaka chakumuumiza moyo 😟
2026-09-08 16:47:40
13
To see more videos from user @thekla936, please go to the Tikwm
homepage.