@graphics_infos: Jinsi ya Kuweka Icon ya 'This PC' Kwenye Desktop (Windows 10/11) Unapata shida kupata icon ya 'This PC' au 'My Computer' kwenye desktop yako? Katika video hii fupi, utajifunza njia rahisi na ya haraka ya kurudisha au kuweka icon ya This PC kwenye desktop ya kompyuta yako inayotumia Windows 10 au Windows 11. Tazama video hii hadi mwisho ili kuweka kompyuta yako vizuri na kurahisisha utendaji wako wa kazi! Usisahau kusupport kwa kulike, ku-comment, na ku-subscribe kwa video zaidi za ujanja wa kompyuta. #ThisPC #Windows11 #Windows10 #UjanjaWaComputer #ComputerTipsSwahili #DesktopIcons #SwahiliTech

Graphics Infos
Graphics Infos
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 12:45:26 GMT
2136
83
10
9

Music

Download

Comments

ngunwagraphicsinfos
Ngunwa Graphics Infos :
ni 🔥🔥
2026-09-08 15:56:24
1
subatomic14
subissocco :
mkuu
2026-09-08 14:35:34
1
msombas.daughter
Msomba's daughter :
✨
2026-09-08 13:02:20
1
To see more videos from user @graphics_infos, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About