naomba nialike tufanye mahalo Mim na wew., Mim ni moja ya wasiomuamini Mungu wa biblia, Nina Imani ya kufanana na Yesu ila sina Imani ya kufanana na wakristo.. tamani kufanya mdahalo na Mim ili kumfanya Mungu wako kujivunia wew 😂😂 mmoja Kati yetu lazima amfate mwenzie