@uniguidetz: CONFIRMATION YA CHUO NI LAZIMA KWA WAOMBAJI WOTE WALIOPATA CHUO ZAIDI YA KIMOJA. MUDA WA CONFIRMATION NI KUANZIA 8 HADI 21 SEPTEMBER. KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI WHATSAPP KUPITIA NAMBA 0618019182

University Guide Tz
University Guide Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 12:54:30 GMT
70833
2196
191
542

Music

Download

Comments

miss_jovara__
✨⚖️Miss_Jovara💜🤍 :
mm siioni hyo request code nimetumiwa tuu direct kuwa your admissions offer is confirmed so hapo tyr au ni vipi
2026-09-09 08:32:20
0
v_lady006
Anna Kiwango :
aah saw
2026-09-09 06:15:19
0
its.faithey
it's faithey :
me sjaona hat sms hadi najihis vibaya
2026-09-08 15:10:57
18
killyboy511
killy Scotty🇰🇪🇹🇿 :
Mimi 2022nilipata vyuo 4 lakini saizi Niko napiga debe mbagala
2026-09-08 16:01:37
31
rico567008
young rico :
nimesahau password na username nafanyaje
2026-09-08 13:33:53
7
rose.joel2
Rose Joel :
Asante,
2026-09-09 07:49:04
0
leexer35
leexer 💞❤️ :
ambao utajapata ujumbe ndo tushafyekwaa😂😂
2026-09-08 17:37:22
8
phina56230
Phina@56 :
Kama nimechaguliwa chuo kimoja jee?? nafanya nn
2026-09-08 13:41:36
4
kyliee4real3
Kylieee🦋🦜 :
Huo ujumbe wengine hatujatumiwa mpaka saivi na tumesha request ila wapi😭😭
2026-09-08 20:05:40
2
user8332610133521
jm14🦴 :
mbn hiyo namba sijaiona
2026-09-08 14:50:17
1
angel.baby0105
Angel baby :
so mwsh lin jmn mm hata sielew
2026-09-08 17:32:36
0
queengilloh
Gilloh 💞 :
mm mbn sijaona sms
2026-09-08 15:57:22
0
rine.fave4
rine.fave💝 :
Kama umepata chuo kimoja tuuu unafanyaje
2026-09-08 15:51:09
0
her_brenny
𝐢𝐭'𝐬_𝐛𝐫𝐞𝐧𝐝𝐚❤️🤟 :
Kama nimeshapewa code na nimeiandika tayar ndo Mwishon au.....???😅😅😅
2026-09-08 17:05:04
0
marie001culture
Maria🧸💕🥀 :
Jmn tunaogop tukiapply Mara ya pili wanaweza kutukataa
2026-09-09 02:21:24
0
theylo644
Theylo💞 :
Nawaza nimemaliza diploma lakin baadhi ya masomo hayajapandishwa na ninataka kuendelea na degree 🥹💔
2026-09-08 15:31:42
0
ms._jennah
therealjanny :
Ss Kama umesahau password Nifanyeje jmn
2026-09-08 20:20:22
0
shampozi
Travona :
nimechaguliwaa vyuo viwil sielew hta
2026-09-08 21:07:07
0
violeth019
Violethjohn❤️ :
Me nimeomba na nimekosa af wengine wamepata viwili daah🤔
2026-09-08 20:02:46
0
winfridawatson
afrin#sweetiecake :
nimepata chuo kimoja na umesema inakuwa automatically confirmed sas kam sijakipenda nataka kuomba round 2 inakuwaje
2026-09-08 17:19:42
0
fb.2.kizzy
fb 2 kizzy :
ambao tumept vyuo ambvy atuvitak na tulia apply ving
2026-09-08 15:02:54
1
user559792037928
Adorable _mwana🌸🌸 🌼 :
Je kama hujaridhika na course ulizopangiwa maan umepangiw course ambazo hujaomba
2026-09-08 17:55:17
0
user3659098248439
rees :
na ambao hatuja chaguliwa
2026-09-08 20:25:00
0
crazybinboy
crazy bin boy :
kama uliomba chuo kimoja lkn campus tofaut na zote umechaguliwa je Kuna haja ya ku confirm? na kama sehem ya ku confirm hamna shida nn ??
2026-09-08 19:56:24
0
user434813506122
Rola fumbwe :
Udom nimechaguliwa lakini sehemu ya confirmation siioni
2026-09-08 19:13:17
0
To see more videos from user @uniguidetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About