@eliudi52:

CHUGA 45
CHUGA 45
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 12:55:01 GMT
219986
7772
389
1210

Music

Download

Comments

mussarichard586
𝗠𝗨𝗦𝗦𝗔 𝗦𝗢𝗡𝗥𝗜𝗖𝗛 8990 :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂🥲😂
2026-09-08 15:28:02
235
nyatu1010
nyatu :
kuna watu wanavipaji vya majibu
2026-09-09 07:39:03
330
kijanawakanisa208
𝑬𝒎𝒂𝒏𝒖𝒆𝒍𝑴𝒌𝒂𝒕𝒐𝒍𝒊ki :
Tumsifu yesu kristo
2026-09-08 15:39:38
121
usernickdollar
nickdollar2020 :
petrol station lazima kuwe na bustan coz hii inasaidia kutengeza oxygen maana harufu ya mafuta ina asili ya cabonmonoxide ambayo ni hatari kwa afya ya wanyakazi na mazingira kwa ujumla,,,,#da pipy nishushe
2026-09-09 13:24:18
114
happyp441
sura sio roho :
nilitaka niweke stustas nikakumbuka baba na mama wataona😂😂😂😂
2026-09-08 15:47:35
26
dad.ezra01
Twelves :
nimeshajua hii nchi ilipotoboka
2026-09-09 06:08:42
58
agustinomarwa426
Tino :
hivi mnajua kama deni la taifa limefika kwilioni 200
2026-09-16 12:57:44
8
confidentialfuture
chubwachubwa :
ni kutokana na sheria ya mazingira Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya Mwaka 2004 (Environmental Management Act - EMA) pamoja na Miongozo na Masharti ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), zinamtaka kila mmiliki wa kituo cha mafuta nchini Tanzania kutenga eneo la uoto wa asili (Green Spaces) ikiwemo bustani, nyasi, na kupanda miti. Hili ni sharti la kisheria linaloratibiwa wakati wa kufanya Tathmini ya Athari kwa Mazingira⁶ (EIA) kabla ya kituo kupewa cheti ,Kuna sababu kubwa tatu za kisheria na kiusalama zinazofanya vituo vya mafuta kulazimika kuwa na bustani:1.kupunguza athari za hewa chafu,2.uthibiti wa uchafuzi wa udongo na maji,3.sheria ndogo za halmashauri(by lawa)
2026-09-09 07:29:34
19
mshambawajiji
Kanyaga⛔ :
Mwanetu pause ⏯️Kwanza alafu endelea kusoma comment husikiii kelele🥺🥺
2026-09-13 13:34:38
5
beatricejoseph422
Trice :
ama kweli 🤣🤣wangapi tumecheka
2026-09-11 10:28:17
18
oricknicholaus
Tycoon_Orick :
kumbe TikTok wameupdate like siku hz zina rangi ya bluu💙
2026-09-11 17:29:35
29
user0684878679
PRINCE YOLLO :
ndio maana nilifuta tiktok kwenye cm yangu
2026-09-10 14:51:29
8
official.onesmo
official onesmo :
hii nchi saiv unavyo kuja ndo unavyopokelewa😂😂😂
2026-09-09 15:04:35
13
vanny.vance
Vanny Vance :
hvo hvo huwa najiuliza mbona gari ya posta inatumia petrol na sio P.O BOX 😁😁
2026-09-10 12:21:25
6
khamisboy1
khamis boy :
hhhhh🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-09 18:09:09
0
debax0209
@debaxkhan09 :
hii Nchi Kuna sehem imetoboka sio bure😂
2026-09-09 06:12:21
8
chuga.boy496
Chuga Boy :
dah bongo siami😁😁😁😁😁
2026-09-10 18:52:49
2
doreen.willbard
Doreen Willbard :
uwiiiiiiii mbavu zangu jamn😂😂😂😂😂
2026-09-16 21:20:35
0
vanzycuties
Vanzy cutie 😘🤗 :
hii inchi Kuna sehemu imetoboka akiii😂
2026-09-09 20:45:05
4
shabanchema
Shabani Chema🔵 :
ulo JIBU ni langu kbisa
2026-09-17 12:35:05
0
emmamalila
Emmanuel Tanzania 🙏🙏 :
shida ilianza October 29
2026-09-11 04:33:00
3
revistarsadala
Revistar 2000 :
ningejilaumu sana nisingezaliwa tz walah 😂😂😂😂
2026-09-09 08:53:51
3
st.paultz
Sr.GIaNT :
uumbaj wa mungu huooo
2026-09-09 12:39:12
1
theddy49
Theddy :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣watu wamevurugwa jmn
2026-09-09 09:24:13
3
suzy.philipo3
Suzy Philipo❤️❤️ :
nimekoma kuuliza maswali🤣🤣
2026-09-16 11:07:51
2
To see more videos from user @eliudi52, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About