Kwanini tusiwape tu Chadema hii ichi kama miaka 10 tu
2026-09-08 19:35:19
32
ALLY HANGA :
master madinda mungu akulinde
2026-09-08 16:01:42
6
Dr Dary :
kwanini udharau elimu ya nchi yetu na unataka tukupe nchi
2026-09-09 13:49:43
2
user3252626883009 :
umetisha
2026-09-08 17:39:58
8
Jenipher Richard :
Tunavichwa sanaaa jamn mungu aingilie kati awalinde wote wana chadema
2026-09-08 15:32:12
9
Sky Face :
Braza acha kutuzarau
2026-09-10 11:09:58
0
user8111261996907 :
kweli CHADEMA wanazo akili kubwa na zaidi ya yote wote wana hofu ya Muumba wa mbingu na nchi, wamenyooka rural haifai. Mungu awape nafasi huenda nchi ikapona