@jonstarofficial: "Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe" Unakumbuka nini kwenye huu wimbo? Marehemu Banza Alitisha sana kwenye verse yake hapo 🔥🔥 #Daima #Nostalgia #SisiTumeanza

Delvis Kasaloo
Delvis Kasaloo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 12:58:00 GMT
54047
2975
422
446

Music

Download

Comments

furahahusseinhuss
Fatuma hussein Hussein :
banza stone mwana wa masanja
2026-09-12 20:43:39
1
battosai.__
아이구 :
banza alifanana sana na papii kocha
2026-09-08 19:19:56
19
afya_detox
AFYA DETOX 🥗🥦🍉🍏 :
Millennials wenzangu tupunguze kula sukari zaid na vyakula VYA chumvi
2026-09-08 19:51:39
68
12lilian1
Liney :
Niko na hizi Suti tu naona alipimwa Mmoja kuwakilisha wengine
2026-09-08 19:14:52
27
ramsye25
Collora-92 :
R.i.p leyla hatibu
2026-09-08 15:12:33
11
free.soul072
Free Soul💃 :
Sio kuolewa au kuoa inabidi tuwe tumekufa kabisa😁
2026-09-09 06:46:27
11
cnglemaster255
cngle☣master🇹🇿 :
walikuwa hawaimbi matus na tulikuwa tunasikiza sanaa
2026-09-09 04:33:03
11
meekdey32
Deno Madini :
RIP Banza stone
2026-09-11 19:50:13
1
dengeboy149
DODOMA FINEST 🇹🇿🇲🇦 🇸🇦 :
mimi ndo uyo alievaa cheni🤣🤣🤣🤣
2026-09-08 16:45:10
2
the_real_tunda1
Mrs Unknown🥰🦋 :
Sisi tuliokuwa tunaenda ccm mwijuma na kukaa mwananyamala tunaelewa hii 😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-09 04:58:49
8
balige.vision
Balige Vision :
ramadhani masanja,Banzastone, mwalimu wa walimu,makavele,general, baba haji yote yalikuwa majina yako tunakukumbuka sana ndugu yetu mungu aiweke robo yako peponi
2026-09-09 10:22:18
8
ke75279
Pangras :
makoti nn,hapo ndy mahandsome na huyo dada ndy ma star bomba jmn, tulikuwa tunasikiliza saa 12 clounds fm yaan jmn! huyo dada & banza stone pumzikeni kwa amani... mtaji w maskini ni nguvu zake na kanga tumevaaa
2026-09-12 00:51:23
3
eddychulbul_
Eddy Chulbul Shibulb :
nashukuru mungu kwa Sasa Nina miaka 48 ..Aaaamiin🤲🤲🤲
2026-09-08 19:23:52
9
gamalinyo1
gama linyo :
sasa minta oa nani kila mtu ana wakake
2026-09-11 06:14:14
0
babarachel.ph
Baba-Rachel🙏 :
Ramadhan Masanja Alizaliwa kipindi cha mfungo wa Ramadhan na kufariki kipindi cha Ramadhan
2026-09-08 20:18:09
10
joyc.t
Jojooo :
jaman umenikumbusha malehemu mam angu 😭😭
2026-09-09 19:37:19
1
ommy_ibra
Ommy Ibra :
Banza Stone ni miongoni mwa watunzi bora wa muziki wa dansi kuwahi kuzaliwa nchini Tanzania, hapo yupo na Abdul Misambano, hapo akiwa na TOT Band
2026-09-10 16:20:03
2
ibrahmsimbazi
Ibrah msimbazi :
na sijaoa mpaka sasa😂😂😂
2026-09-09 11:10:34
2
athumani1952
Athumani :
watu tunawajukuu
2026-09-08 20:12:27
2
salum.mbaraka
Salum Mbaraka :
tena ITV
2026-09-09 07:15:19
2
jpm7298
JPM :
huu wimbo naupenda. kama una full video yake naomba
2026-09-08 15:07:56
1
odindo40
McOdindo :
Musoma na Mwanza enzi hizo.duh nimekumbuka mbali sana leo nina miaka 51
2026-09-09 15:29:23
2
bony.kusundwa
Bony Kusundwa :
jamn kipindi hicho nipo primary jamn nilikuwa kijana mdogo
2026-09-08 20:02:02
2
user3260188108435
saadamosh :
🤣🤣🤣 yaan mimi hata wazo la ndoa na la mtoto sina kabisaa, age go na wala sijari mie
2026-09-09 18:11:34
2
jeydermw5
Jeyder 🎙️ :
NILIDHANI NI BENDI YA CCM
2026-09-09 06:44:46
1
To see more videos from user @jonstarofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About