mwezi wa 6 nilianza maombi kuamka saa tisa mungu amejibu😭😭jima la Bwana libarikiwe
2026-09-26 15:02:28
65
Mama Gloria :
Amen Bab Nina ushuhuda na maombi ya usiku
2026-09-18 15:31:58
13
Neylee Mapesa :
Mimi natamani nipate rafiki aniamshe saa 9 tuombe yani naweka Alam ila napitiwa nasali saa 3 tu
2026-09-09 21:22:07
11
Emmaculate :
Hii ni ukweli mtupu mimi nimeyaona🙏
2026-09-09 09:38:11
30
pendobulambo :
Mungu nisaidie nipe Neema ya kuomba
2026-09-09 17:34:09
38
Mr Tinny Oppenheimer :
nilishawahi amka usiku kwakua semister 1 sikufanya UE tjen ilitaka kunitokea na second semister kwakua sikua nimelipa ada na mtihani ya UE ilikua inaanza saa tatu ahsubui aise hiyo siku niliamka usiku mkuu sana niliomba sana na meditation ya ajabu kesho ahsubui ilipatikana ada na nilifanya mitihani. usije fikiri Mungu hatendi kwan utakua uko nyuma kiimani na kifikra ashukuriwe Mungu wa mbinguni kwa Jina la Yesu Kristo🙏
2026-09-29 17:43:33
9
Gloss by lizzy 👄💄💋 :
Maombi ya usiku yana jibu sana siku 2 nyingi iyo iyo siku na iyo iyo saa yamejibiwa na ushuhuda
2026-09-27 14:07:10
13
MASHEYN PERFUME ✅💐 :
umenipa nguvu ya kuamka Tena leo
2026-09-26 21:18:53
5
Jackline Nyamwaya😍😍 :
nikiendanga ya serious watu unichukiwa bila sababu
2026-09-09 18:24:06
5
user9121022408737 :
Mungu wangu naomba neema yako ili niweze kufanya maombi ya usiku.Amen🙏
2026-09-09 21:23:31
14
kakuh :
aminaaa,,napokea nguvu ya maombi mara dufu kwa jina la yesu
2026-09-09 12:24:07
8
Black beauty 🌹 :
mungu alinfungua kupitia maombi yausiku wamanane napenda sana maombi yausiku
2026-09-08 19:24:47
6
Mjr Og :
amen napokea katika jina la yesu
2026-09-28 20:51:19
2
Jean Michael :
seigneur pardonne moi vraiment 🙏🙏🙏🙏
2026-09-10 21:40:04
2
Ariax coiffure :
mungu saiyi nimekuwanmvivu Ila naitaji unirudishiye tena nguvu Yangu ya maombi
2026-09-10 00:08:27
2
🥀Miss 🦋feñnah🌹 Boss❤️ :
kweli kabisa maombi ya usiku yanajibiw haraka sana pia maombi yakufunga🙏🏼
2026-09-11 03:00:18
5
ysl :
Mimi nimejizoesha kuanza majira ya saa 6 : 00 usiku mpaka saa 9:00 usiku . Masaa matatu ya maombi yenye nguvu ya Mungu hatari.
2026-09-09 12:35:59
7
🇹🇿Maombi Positivemind🔋 :
prayers. 🚥
2026-09-17 11:43:22
2
eunicenginamwembi0 :
Amen Amen Amen Sifa zimrudie MUNGU wetu Amen Amen 🙏🙏🙏🙏❤️🙌
2026-09-18 03:55:08
2
user73862311386245 :
hicho kipaji nilikuwa nacho zamni lakin sahiv jamni kimepotea ee Mungu naomba unirudishie kipawa changu
2026-09-28 22:46:37
2
Purity :
amen 🙏🙏🙏
2026-09-11 08:20:52
2
🦋Mamake Shantie💊🇰🇪🇸🇦🇺🇬 :
Mungu nisaidie niwe naomba saa Tisa ya usiku
2026-09-28 03:39:00
2
To see more videos from user @pastorvicentmaganga, please go to the Tikwm
homepage.