😭😭😭🙏Eeee Mungu wangu! Mimi ni Mfanyakazi wa ndani.Nakushukuru Mungu,hukunipa moyo m'baya,nimeanza kazi kwa Boss wangu mwaka 2000 mpaka sasa 2026 bado nafanya kazi kwake,watoto niliwakuta wadogo mmoja anaanza kukaa na mkubwa yuko Nursery, Wote wameshaolewa. Jamani,tuwe na hofu ya Mungu.
2026-09-09 06:56:30
298
Jackie Mnyoni :
pole san kpnz
2026-10-27 19:23:34
1
Gumzo_4👊 :
Naomba no ya dada wa kaz🙏🙏 plz nimemuelewa
2026-09-20 23:03:59
91
noella simon :
vidole jmn jmn mengine yote sjaskia Ila kwenye vidole jmn😭😭😭😭
2026-09-09 08:44:22
222
Samir Bitisho :
hapo kwenye kumchezea mtoto tu nd nimechokaaa
2026-09-09 02:57:06
194
user5547732633122 :
Pole sana ungemsamehe tu muyamalize using post atakosa furs a zingine
2026-09-09 07:15:13
39
baby ♥️ney🕊️🌹 :
dah mim ni dada wa kazi ila namshukuru mungu Sina roho ya kishetani ya hivi siwezi kumtenda mtoto kama nikichoka kazi na ondoka ila sijajaliwa roho mbaya kwa watoto ee mungu nizidishie moyo wa huruma kwa watot wa wenzangu ila inahuma ata Kam boss akupendi usipize kwa watoto wa watu mnachuma kahana za Bure😭😭😭😭😭
2026-09-21 07:13:46
37
brownselassie :
ukimpeleka mtoto boding anauwawa
ukimwachia mfanyakazi anamchezea
ukimpeleka kwenu wajomba wanamchezea
dah sasa si tuwapeleke wapi watoto wetu
2026-09-11 07:19:25
24
SWAHIBA ONLINE CAR WASH :
sa kashaomba msamaha ya Nini kumdhalilisha Sasa
2026-09-09 11:26:47
30
zay✅ :
pole kwa mtoto mie ndio kaniuzi mengine kawaida tu kudokoa ayo nimambo ya watoto
2026-09-09 03:32:28
24
gadafi :
Hemu musiwadhalilishe watu kama wamewakosea mukiweza kuwasemehe bac malizeni mambo yangu kwenye majumba yenu ni kheri zaidi
2026-09-12 03:51:31
6
Arafa1983 :
Yani watoto watoto Jamani wangekuwaga wanaongea wangesema mengi Jamani mambowanayokutananayo Mungu ndoa najuwa
2026-09-20 11:51:30
27
baba_chige💯 :
ukute alikuwa ana mlipa kwa mwez elfu 25000 wakat kawaida Kwa mwez lak l50000 jaman sio sawa 😞😞😞😞😞
2026-09-21 12:19:17
5
Carrygee🦋💕 :
Sitaki kusikia wafanyakaz mim ata niwe na watoto kumi bora nilee mwenyew Tena kwa aman kubwa
2026-09-09 04:43:48
90
Royal Roy :
Mungu anilindie wanangu
2026-09-08 15:57:32
66
miss BN :
wadad wakazi mnashidagani
2026-09-08 21:14:52
16
L23 :
Yani mm hapo hakuna maelezo mimi namuondoa 😭😭😭😭
2026-09-09 06:15:37
41
NASRA ❤️👣 :
Aisee wasichana sina hamu nao jamn🙌🏻
2026-09-08 20:45:38
32
Ally anzuruni :
nipeni awe mke wangu kabisa
2026-09-08 20:53:44
27
ezmirandra :
me najijua hasra yngu ndo MN mwanangu Niko nae km pochi
2026-09-08 22:22:20
18
DDDDs :
Nimegairi sitak tena wadada wakazi woii🙌🏾🙌🏾
2026-09-21 11:52:37
12
To see more videos from user @lunahnation, please go to the Tikwm
homepage.