@lifeinmy20s2: Me chumba kikiwaga kisafi hivi najiona kama nmemaliza maisha yan nakua na amani sana moyoni😂 ata nisipokula nakua tu nimeshiba😂😂 #fyp #fypシ゚viral #lifeinmy20s #roominspo #fypシ゚viral

lifeinmy20s
lifeinmy20s
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 13:41:57 GMT
60379
3262
56
67

Music

Download

Comments

zehrakhan665
zehra :
Kitanda bei gani kipenzi, nahitaji 4 kwa 6
2026-09-08 22:17:25
10
mketo_the_son_furniture
MKETO_THE_SON_FURNITURE :
nikuuzie shoe rack bc mwaya
2026-09-10 11:09:53
0
jesticvibes13
Full moon♒🌝🌙 :
Me uwaga natamani kulala nje 😂 ila Mr akija dadekiii 😔
2026-09-10 18:44:28
1
vikadanc20
𝐃𝐑𝐀𝐕𝐄𝐍-𝐆𝐀𝐌𝐄𝐑☠️ 🇸🇳 :
mbn unakimbia Tusikuone kwenye kioo 🤣🤣
2026-09-08 20:23:07
4
user3857663836298
coffee 🤎 :
em nione chumba kizma arrangement ipoje niibe idea
2026-09-09 11:12:17
0
t.kishep
T kishepu ❤️ :
Hilo kabt shiingp umenunua
2026-09-08 16:24:38
1
nururashidi949
Nour al arshy :
huyu ni mm kabisa jaman😊 coz what i believe ni kwamba chumba changu ndo my calm space 🥰❤️🤍
2026-09-09 08:22:56
6
ney_garehee
Ŋɛƴ❤️🦋❤️G² :
tupo weng kumb 🥰
2026-09-08 15:48:29
1
cool.g92
@cool G :
mim ni ww kabisa alafu kila wakati napitapita nikiangalia Kaz niliyoifanya
2026-09-09 18:49:15
1
erickkileo1
Mr tall tz🇹🇿 :
umezingatia nature nakubali sana
2026-09-10 13:42:20
4
milian301
mirly beauty point 🌸 :
yan nilijua n mimi mwenyew nasikiaga furaha sana jmannn🤣🤣🤣 yann nasikiaga raha mnoo☺️☺️
2026-09-09 11:03:16
3
maubishoobrand
MAUBISHOO 👣Brand 💤 :
sawaaah msafi mwenzanguu😂😂
2026-09-10 06:50:33
1
user2794276847727kimnaah
kim nah ACCESSORIES :
hahahaa
2026-09-08 16:02:27
1
rashidiramadan105
G Love ♥️♥️ :
mh
2026-09-09 15:57:24
0
itsjey28_
Jeyline😘😘 :
ktanda bei gn
2026-09-09 11:10:03
0
user991394538259
neema :
mambo mim nipo mwanza nashida na meza ya gas
2026-09-10 09:17:07
0
esther.isaya08
Esther Isaya :
wow
2026-09-08 14:24:12
0
hilyd2
Heidi💝 :
usiwe unaeka viatu uvunguni😁
2026-09-10 18:42:48
0
eysha584
eysha :
mi nd npo nimeshatandika kitanda vzr hapa nimelala zangu chini🙆🙆😁
2026-09-11 10:17:24
0
ibraa_mastika
IBRAA_MASTIKA🇹🇿 :
hii type ya furniture inaitwa pallets, inatumiwa sana na watu ambao hawana mpango wa kuja kuishi intimidating.
2026-09-09 08:45:14
1
mketo_the_son_furniture
MKETO_THE_SON_FURNITURE :
aje mdada mmoja bc awe anaisafishia chumba changu
2026-09-10 11:11:08
0
asiah.kibona
it's Siah 💦😈💕 :
unauza mbao
2026-09-10 13:32:43
0
lavidah0
vidah :
😍
2026-09-10 16:59:13
1
lizyperfumes2125
@Lizy perfumes✨🥰 :
🥰🥰🥰
2026-09-10 13:29:39
1
To see more videos from user @lifeinmy20s2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About