@officialflashback255: MWALIMU JULIAS NYERERE FUNERAL 1999 IN ST JOSEPH CATHEDRAL DAREs SALAAM. #Tanzania #ugandatiktok #tiktok #kenya #trending

FlashBack 255
FlashBack 255
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 14:24:18 GMT
40866
3332
157
372

Music

Download

Comments

okayimusingtiktok
daniel🇹🇿 :
bro how comes sijawai ona hii
2026-09-09 16:10:15
81
exodusfx3
exodusfx :
feels like yesterday 😭
2026-09-10 21:37:33
0
andymohd1
Mr Andyمنصور 👑 :
Watu wa 2002 mpo wapi🤣🤣🤣🤣
2026-09-09 16:38:53
22
zungu__
zungu :
watu mlikua na mwaka mmoja 1999😳😁
2026-09-09 10:58:09
48
user9484335455705
Lychee🍒 :
Mama yangu anamaliza form4,,,,1999😂😂🙌
2026-09-09 16:21:19
13
sandrino_hunter_82
Jorge sandrino Hunter :
camera 🙌🙌🙌
2026-09-10 17:22:09
0
hildamghamba245
hildamghamba245 ♒️ :
gen Z tunakoment wapi[Innocent]
2026-09-10 06:07:58
0
adalyan5
ANGEL❤️❥ :
GenZ ndio tunaona leo😅😅😅😅
2026-09-11 07:27:04
6
user9252598242663
Livy 🌹🩺 :
Mwashamu Askofu na baba wa taifa RIP
2026-09-09 09:51:02
11
jacquelineberthord
🌺🌺Therealjacqueline 🦚🎀💶 :
Nilikuwa sijazaliwa
2026-09-10 10:25:12
5
prophetjamesmziga
Mzigaba :
Niko Darasa la 5 saa nne asubhi mkapa anatangaza tukarudishwa nyumban siku 21 maombolezo
2026-09-09 16:58:00
18
alex_idd
Alex Idd :
nilikuwa na miaka miwili Leo ndo nimejua kumbe hiyo ibada ya mazishi iliendeshwa na Cardinal Pengo🥺
2026-09-09 10:47:12
24
paulina.j67
itz~~~pa❤️🥹 :
nahc hata wazaz wang walikua bado hawajakutana😂
2026-09-11 18:21:09
1
icky_moh
Icky's kitchen 🇹🇿 :
Nina mika 16 wakati huu
2026-09-09 16:04:12
0
van_ibrah
ibrah😎 :
ii TAARIFA nilipokea wakat nipo kazini, Ma'na niliajiriwa nikiwa na umr mdg sana miaka 24
2026-09-10 17:52:08
1
user329446611382
official fei♥️ :
mpk nimesisimka aisee wapumzike Kwa amani
2026-09-09 09:51:55
6
baby.gee.c
miss gee🦋 :
Aani hapo weng ni marehemu jmn dah😢
2026-09-10 20:46:55
6
factzonetz0
📍Black Rhinho :
mbona ina HD kali sana aisee
2026-09-10 19:38:34
0
choiyoung.4
Çhôí yëöñg hëē :
1999 niko na mwaka mmoja
2026-09-09 07:52:56
4
mamyg286
MamyG💞🦋 :
nilikua na miaka 4
2026-09-10 12:28:32
0
official_jsm1
Jacque Cutee❤️ :
nilikuwa na miaka 2 ht sielewi nn kilikuwa kinaendelea😅😅😅
2026-09-09 22:12:46
4
To see more videos from user @officialflashback255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About