Naomba mungu aku bariki wewe unae soma iyi comenti amen 🙏
2026-09-09 10:28:42
684
Alex Smartwise :
tunaoamin kucheat kunaleta mikosi na kunachelewesha mafanikio tumeamua kuacha hiyo michezo
2026-09-10 04:52:58
272
Chi-shen-Og❤️😘 :
Ubarikiwe unaesoma coment hiii amen 🙏🙏🙏
2026-09-10 07:29:42
76
✨💫🗝 :
go search on YouTube harmonize and his wife, it's only Kajala all over [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-13 23:16:19
0
Soulful Aura❤️ :
My man never cheats , toeni hyo kauli kwamba hakuna asiyecheat
2026-09-14 15:39:15
0
Mzuri :
kiyato cake nakiva mimi guys inauma mumuelewe 😭💔
2026-09-15 15:10:01
0
Salma :
simpend amonaiz
2026-09-09 13:54:06
17
user6530275316913 :
msipende kuhalalisha wanaume kucheart ni kawaida NOOOOO. wengne tunajiheshimu na tunampenda Mungu na tunajipenda pia
2026-09-09 09:50:45
101
marshy babe💦 :
shida kwamba kajala hataki cheting😂
2026-09-09 07:27:49
77
halimaiddi :
kikubwa uzima Kwa kajala mashabiki tuna amani😂😂😂
2026-09-09 01:19:55
85
JAKUSA MULA🇨🇩🇨🇩 :
va congolais muko wapi
2026-09-10 20:04:03
7
老板 :
Kucheat Kila Mtu AnacheaT wakuu😂😂😂
2026-09-12 12:43:19
11
Aline Mabise :
ila harmonize dah . kajala wawatu mpole kama nini
2026-09-09 15:20:48
0
cutie :
cheating sio mbaya na madharau ndo inauma
2026-09-11 19:15:28
5
SAM - KAGAME🇨🇩 :
mwijaku leo umeongeya neno muimu sana[Cœur rouge][Cœur rouge]
2026-09-09 04:37:31
51
Nelly iteka :
Sio wote wana cheat
2026-09-09 06:24:38
9
Clare 💖🎀 :
wapo wengi wasio cheat tena wengi sana
2026-09-10 22:00:05
8
𝖕𝖆𝖕𝖆 𝕭𝖊𝖆𝖗🧸❤️🔥 :
Tunamuomba Mungu wewe Unaesoma Comment hii Mungu akubariki🙏
2026-09-13 14:04:12
7
sco-llar :
ukitaka kuishi na mpenzi wako kwa amani usimfuatilie kwa asilimia mia ,enjoy your moment with him ,anachokupa ridhika na ww tafuta vyako pia ,jipe first priority kwanza,kama ni wako ni wako tuu kama sio wako don't force ,ikifika kipindi amekukinai kubali mwache aende.
2026-09-11 20:23:42
13
Violla Peter :
jamani katka xku mwijaku umeongea point n leo
2026-09-10 10:31:22
8
Mama G 💕💗💕 :
mi natamani nipate wa peke yangu nina moyo mdogo jamani nikipenda naingia mazima😂
2026-09-09 16:37:36
17
Maria mayah🥰🥰 :
Mimi ukinicheat I cheat back we play fare game 🤣🤣🤣🤣
2026-09-09 15:28:31
9
it's marge 💕 :
me wangu hachiti
2026-09-09 18:50:05
6
Nyota D :
kwakwer swala la ku cheat mie ndoa Sina huo uvumilivu sina
2026-09-09 11:15:32
8
To see more videos from user @rommy879, please go to the Tikwm
homepage.