@bbcnewsswahili: Eda ni nini? Na je, Rais Samia ataweza kufuata utaratibu wa eda akiwa madarakani? Mwandishi wa BBC @mariammjahid alizungumza na Sheikh Hassan Kinyua kupata maelezo ya kina #bbcswahili #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fypシ゚viral #foryou #imani #edda

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 14:48:03 GMT
134424
5967
220
514

Music

Download

Comments

user8838411373771
user8838411373771 :
Dini ni unafiki tu imekaa kimaslahi zaidi
2026-09-08 16:29:53
39
giftedsonm
Gifted :
si ajiudhulu tu ili akae huko eda vizuri
2026-09-08 16:05:00
16
advocateishongoma
mrindwa :
Alijichagua kuwa Rais, hakuchaguliwa kwahiyo usitusemee wananchi wa Tanzania, ukweli tunaujua sisi @bbcnewsswahili
2026-09-08 15:52:17
33
eva.akyoo2
Eva Akyoo :
usitidanganye haruhusiwi
2026-09-08 15:49:29
4
abdullnurbillhussn
Abdulnurbilhusni :
hiyo ni Sheria yenu ya serekali lkn Sheria ya dini haruhusiki kutoka hata nje Kwa muda uliopangwa na Sheria ya dini
2026-09-08 16:57:40
41
kingfeisal004
𝗞𝗜𝗡𝗚-𝗙𝗘𝗜𝗦𝗔𝗟 :
kabla ya eda kwanza mwanamke afaa kwa kiongozi mkuu wa nchi...?
2026-09-08 19:42:52
7
durant5451
Mr H :
ndio maana kila nchi iko Na vice President
2026-09-09 03:25:13
1
fabianianatoryog
Number six :
Anaemluusu ninani nawakati din inakataza
2026-09-08 15:45:31
17
sonkoabdallah
@dullynabz :
sina maoni
2026-09-08 17:46:38
2
magagiamos
Desse'_🚛🛻 :
lekebisha kauli yko hajachaguliwa na wananchi
2026-09-08 16:04:49
4
mohdhatibu
Mohd Hatibu :
Apo kwenye kuchaguliwa tu ndo ulipokoaea vyengine ni sawa Ila hatukumchagua
2026-09-08 15:56:54
11
aqramso
I'm ethán 🌴 :
Naogop ku Comment
2026-09-08 15:20:38
11
benngola1
Ben ngola :
ni vyema interview hii angepatikan shehe kutoka nje
2026-09-08 15:52:22
7
hassan.me90
Hassan :
subhanallah Aaaah Muongopeni Mungu dini ipo wazi jamani
2026-09-08 17:12:28
3
josezila
user9908630609518 :
off target
2026-09-08 15:15:45
1
user2120569334210
user2120569334210 :
no body care now adays
2026-09-08 16:21:46
0
user1209538431942
mager power starts 💪 :
raisi amechaguliwa na wananchi mhh wananchi gan walo mchagua
2026-09-09 04:00:03
1
northsea99
️ :
lazima wana vyuoni waingilie hili, huyu ni Amiri Jeshi na kiongozi wa taifa, mm shemegi yangu alikuwa akienda kazini akiwa eda, kulingana yeye ni meneja wa Benki, sembuse Amirah jeshi?
2026-09-08 16:44:36
7
majejepain1
majeje pain :
kufiliwa au kufiwa
2026-09-08 16:45:08
0
yusuph.baha
Yusuph Baha :
inshallah amalize eda , nitume posaa...mungu mwema niwe mume wake🥰
2026-09-08 19:07:46
0
lion.a.mangole
Dr Bishop Lion A Mangole :
Kwanza hajawa rais kwa sheria za Kiislamu, anekuwa rais kwa kuiacha sheria ya kiislamu
2026-09-08 17:59:32
3
beinafuuphones
BEINAFUU :
Akifiliwa??? Au Akifiwa? .
2026-09-08 15:35:51
1
user2478175990029
Ismail Lumumba :
yule ni shefu wa serkali ya inchi ya Tanzania Anaswihi Kutumika !
2026-09-08 21:07:49
1
juneinah24
junah :
kwani Sheria za Edda zinatofautiana kwa vyeo
2026-09-08 19:34:18
1
eunice.j..mathias
Eunice J. Mathias :
Jamani akae tu eda imani ni ile ile ti kwa kila mtu
2026-09-08 17:00:12
2
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About