Ndo ukubwa ndo ubinaadam na ndio mwisho wetu kuja na kuondoka
2026-09-08 17:01:55
4
Chubby :
Na mm jamani nataka kuenda kumpa pole mama Samia natamani nimpe mkono wa pole
2026-09-08 17:22:04
2
Rimaya :
pole mama🥺
2026-09-08 16:48:43
1
Khadija :
sisi sote ni wa Allah na kwake tutarejea
2026-09-08 17:16:22
3
🎼 Vidy Visy 🍎 :
humu watu aanajielewa hakika msiba usikie tu mungu ampe nguvu
2026-09-08 17:17:47
2
Maryam Dhahabu :
Innalillahi wainnailahi rajioon kila nafsi itaonja mauti mbele yake nyma yetu
2026-09-08 17:19:01
1
mohasjafary3 :
Pole sana mama mungu akupe nguvu
2026-09-08 16:51:04
4
Tecla Electrical :
Pole sana mama kufiwa si jambo dogo
2026-09-08 17:23:37
1
Zulpha Masika :
président Félix kisekedi kilombo❤️🔥💞
2026-09-08 16:50:47
1
user5768630481301 :
sasa tkisekedi hajuw kiswahili wala kingereza wanaongeya luga ganii?? yete rahisi wa congo anajuw français tu
2026-09-08 17:25:55
1
user7029490666393 :
pole mam mungu akufunge mja wake 🙏🙏🙏
2026-09-08 16:55:05
1
Rehema :
Allah akupe farajaa mama
2026-09-08 17:04:57
0
TANZANIAISSAFE :
Pole mama
2026-09-08 16:59:35
1
bulla patrick :
pole sana sana mama yetu,,sisi wanao tunaendelea kukuombea Kwa mwenyezi Mungu
2026-09-08 17:21:44
0
user8774926681619 :
pole
2026-09-08 15:19:51
0
@.@. mngazija 💯💯💯 :
Mama 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-08 17:20:08
0
Najma Abaleli :
pole kipenzi
2026-09-08 17:01:29
2
Mama t :
WATUMISHI WA MUNGU KWA UPENDO WAMEKWENDA KUMPA POLE MAMA YETU SAMIA.
2026-09-08 16:51:06
4
monii pretty💯💯💣 :
ivi n kweli au mnatania
2026-09-08 15:22:34
0
Tatiana Masudi :
pole ni sana
2026-09-08 17:41:58
0
Regan Njiu :
Pole sana Mh Raisi mama yetu
2026-09-08 16:56:51
1
user8774926681619 :
nyi mnasema tu ila msiba unauma
2026-09-08 15:20:27
1
Invincible Jin :
Mheshimiwa Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Wageni wengine mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026 kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Sept, 2026.
2026-09-08 15:26:06
1
To see more videos from user @rahim.amiry, please go to the Tikwm
homepage.