Kwa huyu Dominic vya kuchukua ni vichache vingine vikae kama motivation ukijaribu unapotea zaifi ya alivo sema
2026-09-08 16:23:58
7
zuhuradindai :
ni kweli kabisa
2026-09-09 08:50:06
3
__pisces_♓️ :
Exactly 🔥🔥
2026-09-08 16:45:07
3
Female Alpha🧜♀️ :
Napingana na wewe zipo biashara bhn hakuna support na ukiimantain inakua chap sana
2026-09-09 05:36:38
5
SmartLife Electronics Tanzania :
yap ni kweli.....but it is a process....but will take a time
2026-09-08 22:53:13
1
Mr mafekeche :
fact tupuuu
2026-09-08 19:40:48
1
FORTCADES PLAYSTATION :
siyo kwel
2026-09-08 20:34:20
1
Habibu🦅🐐 :
mi nimeanza na 270,000 na miaka 6 kwa na sikupata sapoti kwa mtu yeyote kwa hiyo acha kupotosha watu inategemea unafanya nini pia tofoatisha uwezo kuhaso kama yeye alishikwa mkono anamaanisha huwezi fanikiwa hadi ushikwe mkono usiwavuje watu moyo.
2026-09-09 05:48:18
2
Chairman White :
huyu jamaa leo nmeanza kumkubali
2026-09-09 22:24:50
3
Zainat_Cosmetics :
Hii sio kweli
2026-09-08 19:29:01
0
jescapeter swai :
kweli kabisaa
2026-09-08 15:23:30
0
Koroma Spare parts :
Hapo umedanganya❌
2026-09-09 13:58:38
3
Yusco :
2026-09-10 16:52:48
1
TechWave Store :
Jaman mbona mm nime anza kwa uaminifu 😂
2026-09-09 04:13:22
0
Charles Nicolaus :
bro inawezekana bana! trust me
2026-09-10 20:10:52
0
SONKO HIM SELF :
kwenye maisha kitu hiki nimekisikia kwako umeongea ukwel muno kabsa Tena kabsa
2026-09-09 13:27:07
3
face off🍒❤️🥀 :
lk
2026-09-10 16:16:29
0
Omasstown Tz :
sio kweli 😂 mimi nimeanza na 30000
2026-09-08 22:16:23
0
Aura Outfit :
watu wengi naona wanachanganya hapa
yeye anaongelea the process ya kupata hizo million zenu kwamba n process ya miaka 10 ahead huko lakin kuna wale Wa kafungua duka September December anamiliki mall mlimani city na anasema alianza na 20k oyaaa uongoooo bhana😅😅
2026-09-10 22:11:06
0
KELVIN MGALA :
Sasa ndo amesema ukweli,,usifanye mchezo na kuzilea biashara ndogo huku unaitegemea isimamie maisha yako
2026-09-09 18:50:37
0
madam ejc_mitumba classic :
huo ndo ukweliiiiii
2026-09-10 18:30:41
0
𝐎𝐌𝐌𝐘 🕸 :
Nimeanza kama WINGA sina hata 100 mfukoni sasa hivi SHWAAAAAH... 😁
2026-09-10 18:05:51
0
Oscar dosantos jr :
upo sahihi sana mkuu 🔥🔥🔥
2026-09-11 07:25:40
0
homeglowtz :
Ni kweli kabisa
2026-09-10 03:58:34
0
Steven Obane :
sio kweli
2026-09-08 21:26:00
0
To see more videos from user @sarahkim.capital, please go to the Tikwm
homepage.