@islamicswahilinet: SADKA NI DAWA YA MAGONJWA YOTE Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 15:16:40 GMT
Music
Download
Comments
Salama Abdulaziz :
ni kweli shekh wetu
2026-09-08 19:43:04
1
faiza Ally Love kipenzi 💋💋 :
amin 🙏🙏🙏🙏
2026-09-08 19:07:36
1
Abuu Salim mbarak :
ndugu zanguni hii sio uwongo ni kweli kabisa hakuna kitu kikubwa ktk maisha kama kutoa sadaka kwani sadaka haimsaidii unaempa inakusaidia wewe na inapunguza hasira ya Allah.
2026-09-08 19:32:20
1
nahyaranjan :
shukran
2026-09-08 18:21:54
0
Rahjoo☺️💖 :
mashAllah 💯
2026-09-08 18:27:56
0
tumabby🥰🥰 :
shukurn🥰
2026-09-08 15:56:06
0
user7359229667489 :
shukran sana 🙏
2026-09-08 17:04:13
0
Mariam Mariam :
Ni kweli
2026-09-08 18:13:08
0
umair :
Mashaallah Takbeer Allahu Akbar🥰🥰🥰🥰❤️❤️💯💯💯
2026-09-08 18:00:05
0
Rajabu Bundala :
mashallah
2026-09-08 17:44:38
0
Zainab Paso :
amiin
2026-09-08 17:38:38
0
salum dady :
sada yenye kuendelea
2026-09-08 15:38:52
0
Safia :
shukran
2026-09-08 15:53:05
0
17th :
😭😭😭😭😭😭😭🥵🥵
2026-09-08 17:19:15
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.